Yupo sana mbona...Anaendesha kipindi fulani cha uchunguzi TBC1!kuna watu ambao najiuliza wako wapi
1. mama terry
Yupo sana mbona...Anaendesha kipindi fulani cha uchunguzi TBC1!
Huyu mbona alishatutoka muda mrefu!!Hata Mzee Jangala sijui kapotelea wapi??