Mama Mariam Mwinyi akabidhi sadaka ya futari kwa makundi maalum

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
478
Mke wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi leo tarehe 18 Machi, 2024 amekabidhi Sadaka ya futari kwa makundi maalum wakiwemo watoto Yatima, Wazee.

Sadaka hiyo imegaiwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Anna Atanus Paul kwa niaba ya Mama Mariam Mwinyi.

Sadaka hiyo imetolewa Mkoa wa Mjini Magharibi katika kituo cha watoto yatima Mazizini, kijiji cha SOS, Mambosasa, Welezo na Sebleni.

IMG-20240318-WA0054.jpg
IMG-20240318-WA0051.jpg
IMG-20240318-WA0049.jpg
IMG-20240318-WA0047.jpg
IMG-20240318-WA0046.jpg
IMG-20240318-WA0042.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom