Mama kijo bisimba jiangalie..kuna wadau wanakutamani kama uli!!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,748
41,084
Basi hivi majuzi tumekaa baa flani bwana, tena ilikua ka weekend kalikomalizika..jamaa wakanza kupiga soga zao..wakawa wanasema..huyu mama huyu..ngoja tu..anajifanya kihere here sana..mda si mrefu kama uli tu..hehe nikashtuka sana..nikasema duuh kumbee..jamaa akawa anasema..huyu mama huyu msumbufu sana anajitia kiherehere sana..anatusumbua sana huyu mama...mi nikachukulia labda itakua pombe tu nikamsamehe..
 
huo msahamaha mkuu uliumisplace, next time dont forgive so easily
 
Wanaharakati wote ni lazima wachukue tahadhali na nyendo zao kwani nchi hii imeharibika kwani serikali haiwalindi raia wake tena!!!
 
Back
Top Bottom