Mama kanumba amvaa mama lulu

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
[h=3][/h]

Mama Kanumba, Flora Mtegoa.
Mama Lulu, Lucresia Karugila.
Marehemu Steven Kanumba.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.

CHOKOCHOKO zimeanza! Huku kesi ya kifo cha mwanaye ikiendelea na Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ akisota nyuma ya nondo za mahabusu ya Segerea, mama mzazi wa marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Flora Mtegoa amemvaa mama Lulu, Lucresia Karugila, Ijumaa linafunguka.
MANENO MAZITO YA AIBU
Kwenye mahojiano maalum na gazeti hili nyumbani kwake Kimara-Temboni, Dar es Salaam, mapema Jumanne wiki hii, mama Kanumba alimtolea mama Lulu maneno mazito huku akimshangaa kwa kushindwa kumpa pole na kumfariji tangu mwanaye afikwe na umauti Aprili 7, mwaka huu.

KWA HABRI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
huyu mama naye amekua mbongo fleva kuuza sura magazetini,hadi analazimisha bifu ili aandikwe.!
 
Hii awamu ya 4 imezalisha vichaa wengi sana! Kama hii habari ni ya kweli, nampa pole Mama Lulu.
 
Wangetafutana wao kwa wao waongee wenyewe kimya kimya maana mmoja anaweza kukuta alibaka mtoto mdogo mwingine anashukiwa kuua!!ngoma draw hapo!!!wangeelewana kiutu uzima wawe kitu kimoja wayamalize......wamsaidie Lulu apambane na jamhuri!!!hapo tungewaelewa!!!
 
EEH HAYa magazeti ya makorokocho hayaepukiki jama usipoyanunua utajasoma barabarani na usipoyasoma barabarani hata jf utayakuta looh.
 
Back
Top Bottom