Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,202
- 218
[media]http://www.likembe.net/Sounds/Mama%20Chakula%20Bora%20-%20Mbaraka%20Mwinshehe.mp3[/media]
FOR YOU NAIMA
FOR YOU NAIMA
Shy, tunaomba na sisi tusikilize jamani!!!
Naima tu?
...I like it Shy ingawa hakuna vina wala mizani....Kanyaga twende!!!!!Haika wangu sikuoni Nani kakuchukua ?
Haika wangu Njoo moyo wangu upate Kupoa
Haika nakupenda Toka zamani wewe ni murua
Haika wangu mleteni , Mliyemchukuwa
Harufu yake nasikia , Machoni simwoni
Haika wangu nakupenda kwa Umbo Lako bila Soni