Mama alipua nyumba na kuua watoto wawili baada ya mume kuoa Mke wa Pili

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Mwanamke mmoja wa Kajiado amechoma moto nyumba yake wakati akiwemo ndani, uliosababisha vifo vya watoto wake wawili, wenye umri wa miaka 2 na 10, baada ya kugundua kuwa Mumewe ameongeza Mke wa 2

Imeelezwa baada ya kisikia taarifa za Mke wa Pili wa Mumewe, aliwafungia watoto hao ndani ya nyumba na kuacha mtungi wa gesi ya kupikia ukiwa unatoa gesi kwa muda kabla ya kuwasha moto

Mama huyo aliyeungua kwa asilimia 50, aliokolewa na majirani na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kajiado, ambako anapigania maisha yake

.......

Kajiado woman kills her two children 'after husband takes second wife'

A middle-aged woman set her matrimonial home ablaze and killed her two children, aged two and 10, following a marital dispute at Saina estate in Kajiado town on Tuesday night.

In a fit of rage, allegedly after learning that her husband had married a second wife, she allegedly locked her two children in the house and left the cooking gas cylinder on for some time before lighting the fire.

The mother, with 50 percent burns, was rescued by neighbours and rushed to Kajiado Referral Hospital, where she is fighting for her life.

Nothing could be salvaged from the two-room iron sheet shanty in the low-class settlement on the outskirts of Kajiado town.

A neighbour told the Nation that the mother came out briefly before rushing into the burning house, as the 10-year-old girl was calling for help from inside.

"I heard the girl calling for help but I could not access the bedroom which appeared to be locked from the outside. By that time the fire had spread throughout the house," the neighbour said, adding that the woman had shared her predicament with them.

Source: Citizen Digital, NTV
 
Back
Top Bottom