Malumbano ya viongozi HAMAS: Walioko ndani wanataka vita visitishwe, walio nje wanataka muda uvutwe

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Viongozi wa HAMAS walio ndani ya Gaza wapo radhi vita visitishwe na mikataba itiwe saini, wao wameshaonja joto la jiwe, hawana hamu tena, ila wale wanaoishi kwa raha kule nje wanataka muda uvutwe kwanza wapate dili nzuri...
=====================

Hamas's top leaders are arguing about the proposed ceasefire and hostage exchange deal, forcing it to be pushed off further and further, the Wall Street Journal revealed, citing officials "familiar with the negotiations" on Friday night.

Hamas head Yahya Sinwar, as well as other leaders in the terrorist organization, are allegedly ready and willing to sign off on a proposal to stop fighting in Gaza for six weeks in exchange for the freeing of Israeli hostages.

"The organization’s exiled political leaders, though, are demanding more concessions and want to negotiate a permanent [ceasefire], they said," the WSJ report, written by reporters Summer Said and Jared Malsin, claimed.

JPost
 
Hakuna kusitisha vita mpaka magaidi yote yateketezwe.
 
Shida ndo hiyo, Israel katika kuhakikisha anasurvive hapo Middle East ametumia gharama nyingi sana, ana fallen soldiers, missing soldiers ,kwa ufupi alishapoteza askari wa kutosha tena makomando wakiwa wanaopigania nchi, anaona madhara ya kutekeleza matakwa ya Hamasa ili kuachia mateka ni kubwa sana, bora mateka wafe ili Gaza ifutike, na huo ni mtego kwa hamas, wataua mateka lakini inahalalisha Israel aendelee kufanya uharibifu pale Gaza, na hakuna atakayeingilia kati.
 
Umenena kiukweli israel pale hatoki leo wala kesho
 
Mmeanza propaganda enyi wazayuni wa jf poleni sana
Magaidi ya kizayuni mpaka yaondoke ghaza yaani tutayafyeka sanaaaaaaaa
 
HAMAS masalia hao waliochoka. Hamas wenyewe walisema vita inapiganwa ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom