Ma'Love Dave yake Yamenizidia.

Where the heck did the copper-copper storm from? Baby-baby wako unataka aniparue makucha eeh?

Hebu badili jina banaa ujiite Mr King'asti (mbona wadada wanajiitaga Mrs Kadoda11?)
nilikuwa na kauzingizi lakini ghafla kame toweka.Anyway let me put it right king'asti,hayo makopa kopa ni kuonyesha Tunapendana-sio na wewe ila na huyo uliyemtaja.Nitawasiliana na Management ya JF kuona kama itawezekana kubadili ID yangu toka Kadoda11 mpaka Mr.kinga'sti.:redface:
 
Nimemiss kweli zile enzi za kudedicate nyimbo,kitambo kidogo sijafanya dedication sijui nianze na nani leo?!
 
Back
Top Bottom