Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,873
Kwanza ni ushamba kuripoti habari kwa namna hii. Its against media professionalism. Msaada umetolewa na Serikali ya Tanzania sio Magufuli? Pili hakuna sababu ya kutangaza sana. Ilitosha tu kusema siku ya kwanza kuwa tumetoa msaada. Sio mnatoa msaada mnatangaza, mkisafirisha mnatangaza, msaada ukifika mnatangaza, watu wakigawiwa mnatangaza, na wakianza kula mnatangaza? Kwamba sasa kile chakula cha msaada tulichotoa kimeanza kupikwa? Acheni ushamba.
Afu tani zenyewe 600? Kikwete alitoa tani 8,000 he didnt say a thing. Saivi tani 600 tu mnnasifu na kuabudu asif ni jambo kubwa sana. Serikali ya Marekani inatupa msaada kwa mambo kibao, kuanzia afya, maji, umeme, miundombinu hadi dawa za ARVs lakini huwezi kusikia msaada umetolewa na Trump. Huwa tunaambiwa kwa hisani ya watu wa Marekani kwa sababu ni kodi ya wananchi sio pesa ya Rais. Hapa kwetu kila kitu tunapersonalize kwa mtu mmoja. ZZK aliposema msaada usifanyiwe siasa alimaanisha hiki kinachoendelea.
#PraiseTeamAcheniUshamba