Malipo ya waamuzi katika ligi kubwa za ulaya

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,947
6,086
Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi.

Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa mechi moja tu.

Kule ligi kuu ya Ureno, mwamuzi analamba Euro 1500 kwa mechi moja ambayo ni sawa na Tshs. Milioni 3,811,197.

Kwa upande wa Ligue 1 ambayo ni ligi kuu ya Ufaransa, mwamuzi huwa anakunja Euro 2900 kwa mechi moja tu ambayo ukiileta kwa pesa zetu ni sawa na Milioni 7,368,178.

Ligi Kuu ya Italia maarufu kama Serie A nayo hawapo nyuma, refarii hulipwa Euro 3400 ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 8,637,996 kwa mechi moja tu.

Kule Bundesliga, kwa mechi moja tu, mwamuzi huchukua Euro 3600 ambazo ni sawa na Tshs. milioni 9,145,439.

Tukimalizia na Laliga, mwamuzi huwa analamba Euro 4200 kwa mchezo mmoja tu ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 10, 669,777.

Kwa kuhitimisha, EPL ligi pendwa waamuzi wake wanalipwa kiduchu kulinganisha na ligi za nchi nyingine, lakini pia waamuzi wa ligi za wenzetu wana kazi za ziada.

Natamani nifahamu waamuzi wetu akina Kayoko wao wanakunja shilingi ngapi kwa mechi moja.
 
Source:
F855F63D-CB9B-492F-B623-7B748FCD3B70.jpeg
 
itakusaidia nini
 
Tanzania mimi hupenda kumwona refarii moja anaitwa Tatu; ni binti mdogo lakini yuko sharp sana. Sijui yeye analipwaje lakini hunikosha sana anapokuwa anachezesha mpira ingawa mara chache chache amekuwa anafanya makosa madogomdogo.
 
Marefa si umeshawahi kusikia wanadai hela za msimu mzima! Ndio maana baadhi hawategemei hiyo kazi, wanazo nyingine za uhakika za kuwaingizia kipato.
 
Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi.

Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa mechi moja tu.

Kule ligi kuu ya Ureno, mwamuzi analamba Euro 1500 kwa mechi moja ambayo ni sawa na Tshs. Milioni 3,811,197.

Kwa upande wa Ligue 1 ambayo ni ligi kuu ya Ufaransa, mwamuzi huwa anakunja Euro 2900 kwa mechi moja tu ambayo ukiileta kwa pesa zetu ni sawa na Milioni 7,368,178.

Ligi Kuu ya Italia maarufu kama Serie A nayo hawapo nyuma, refarii hulipwa Euro 3400 ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 8,637,996 kwa mechi moja tu.

Kule Bundesliga, kwa mechi moja tu, mwamuzi huchukua Euro 3600 ambazo ni sawa na Tshs. milioni 9,145,439.

Tukimalizia na Laliga, mwamuzi huwa analamba Euro 4200 kwa mchezo mmoja tu ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 10, 669,777.

Kwa kuhitimisha, EPL ligi pendwa waamuzi wake wanalipwa kiduchu kulinganisha na ligi za nchi nyingine, lakini pia waamuzi wa ligi za wenzetu wana kazi za ziada.

Natamani nifahamu waamuzi wetu akina Kayoko wao wanakunja shilingi ngapi kwa mechi moja.
La Liga wametisha sana
 
Katika ligi zote ulizotaja waamuzi wa EPL ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo tu. Hawana kazi nyingine
 
Back
Top Bottom