Malipo ya Mafao ya wastaafu bado ni kero

ingipower

Member
Apr 3, 2012
86
37
Nimesikitishwa na jinsi mtumishi aliyestaafu kuanzia mwezi wa 8 mwaka jana kutolipwa stahiki zake kama ilivyoagizwa na Mh Rais wetu, badala yake mafaao yanalipwa kwa kikokoteo cha 25%. Na ukifutilia kwa mfuko husika mafano PSPF unapewa majibu ya mkato eti andika barua kwa mwajiri. tuanomba ufafanuzi wa swala hili
 
Ile 50% aliyolejesha rais ni changalamacho kwasababu utekelezaji wake as barking dog that is toothless.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom