Malipo ni hapa hapa duniani

thehunk

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
527
221
Kuku wangu wameanza kutaga,lakini cha kushangaza inaweza kupita siku kadhaa hawatagi, yaani usipowafungia bandani kwao basi ndio kabisa hawatagi. na uchunguzi nilioufanya nimegundua wanataga kwa jirani yangu na jirani ameuchubua.

Wakati natafakari hili ndio ikanijia kumbukumbu ya kwamba zamani nilikuwa na tabia ya kwenda porini kutafuta mayai ya kanga na sio kwamba ni kanga pori hapana ila wakufugwa lakini mara nyingi walikuwa wanatagia porini kuna saa hata mayai ya kuku unaweza ukayakuta.na nikawa nayachukua na bila kutoa taarifa kwa mmiliki.

Na hapo ndio nikaamini kweli malipo ni hapa hapa duniani
 
Na kama ulikuwa mfiraji utotoni, jiandae kupelekewa miti uzeeni. Malipo duniani.
 
kuku zangu wameanza kutaga,lakini cha kushangaza inaweza kupita siku kadhaa hawatagi ...yani usipowafungia bandani kwao basi ndio kabisa hawatagi. na uchunguzi nilioufanya nimegundua wanataga kwa jirani yangu na jirani ameuchubua.

wakati natafakari hili ndio ikanijia kumbukumbu ya kwamba zamani nilikuwa na tabia ya kwenda porini kutafuta mayai ya kanga.....na sio kwamba ni kanga pori hapana ila wakufugwa lakini mara nyingi walikuwa wanatagia porini ..kuna saa hata mayai ya kuku unaweza ukayakuta.na nikawa nayachukua na bila kutoa taarifa kwa mmiliki.

na hapo ndio nikaamini kweli malipo ni hapa hapa duniani
Kwa vile umejua unalipwa uliyoyafanya basi enenda zako umesamehewa dhambi zako!
 
Mwenye Enzi Mungu Mwenye wingi wa rehema atuhurumie milele yote!
 
kuku zangu wameanza kutaga,lakini cha kushangaza inaweza kupita siku kadhaa hawatagi ...yani usipowafungia bandani kwao basi ndio kabisa hawatagi. na uchunguzi nilioufanya nimegundua wanataga kwa jirani yangu na jirani ameuchubua.

wakati natafakari hili ndio ikanijia kumbukumbu ya kwamba zamani nilikuwa na tabia ya kwenda porini kutafuta mayai ya kanga.....na sio kwamba ni kanga pori hapana ila wakufugwa lakini mara nyingi walikuwa wanatagia porini ..kuna saa hata mayai ya kuku unaweza ukayakuta.na nikawa nayachukua na bila kutoa taarifa kwa mmiliki.

na hapo ndio nikaamini kweli malipo ni hapa hapa duniani
Hongera kwa kuvuna ulichopanda mkuu... Angalizo; usipande tena baada ya haya mavuno.
 
hahahahahha daah mkuu nmecheka sana kama mazuri vle, upo kama mimi

nilizoea kuiba mayai ya jirani kwenye kapori flani hivi hadi siku moja nikakutana na KENGE mkubwa sana nilikuwa nanyatia nabeba mayai ebhana siku hiyo nilipiga yowe hakuna mfano had watu wakaja walimkimbiza wakafanikiwa kuliua
niliumbuka

but now nafuga kuku na kanga kuna vitoto huwa vinaniibia mayai bandani mwangu
 
Back
Top Bottom