Mali za Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku(Musukuma) kupigwa mnada

Dar es Salaam. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma.

Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo Mbezi Dar es Salaam na kiwanja Na.’2’ block ‘A’kilichopo Korogwe mjini.

Mali nyingine ni shamba Na.201 liliolopo kijiji cha Igate Mkoani Geita, kiwanja Na. 116 block A Buswelu Kaskazini na kiwanja Na. 48 block T katikati ya jiji la Mwanza.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, William Kalage amesema ni kweli mali hizo zinapigwa mnada.

“Ni kweli tumetoa tangazo na sisi ndiyo tumeipa kazi hiyo kampuni ya udalali kupiga mnada mali hizo,” amesema

Mbali na Musukuma, kampuni ya LJ International Ltd pia imetangaza watu 19 wanaodaiwa na benki hiyo ambao mali zao zitanadiwa.

Hata hivyo Musukuma hakupatikana kwa njia ya simu kuzungumzia suala hilo. Hivi karibuni mwanasiasa huyo amekuwa akimpigia kampeni mgombea ubunge wa jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Julius Kalanga.
 
Zile nyumba zilikuwa ni za serikali walikuwa wanaishi watumishi wa umma. Itakuwa aliyeuziwa na serikali na yeye kumuuzia Jose
Nahis itakuwa lakin nilikuwa sijui kama kishawahi kuwa cha selikar ngoja nimushawish mshua wangu tukinunue maana kuna wakati kulikuwa kuna kiwanja kilikuwaga kinauzwa hapa mjin nikamshawish baba tukakinunua
 
Dar es Salaam. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma.

Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo Mbezi Dar es Salaam na kiwanja Na.’2’ block ‘A’kilichopo Korogwe mjini.

Mali nyingine ni shamba Na.201 liliolopo kijiji cha Igate Mkoani Geita, kiwanja Na. 116 block A Buswelu Kaskazini na kiwanja Na. 48 block T katikati ya jiji la Mwanza.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, William Kalage amesema ni kweli mali hizo zinapigwa mnada.

“Ni kweli tumetoa tangazo na sisi ndiyo tumeipa kazi hiyo kampuni ya udalali kupiga mnada mali hizo,” amesema

Mbali na Musukuma, kampuni ya LJ International Ltd pia imetangaza watu 19 wanaodaiwa na benki hiyo ambao mali zao zitanadiwa.

Hata hivyo Musukuma hakupatikana kwa njia ya simu kuzungumzia suala hilo. Hivi karibuni mwanasiasa huyo amekuwa akimpigia kampeni mgombea ubunge wa jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Julius Kalanga.
Hongera msukuma kwa kuweza kukopesheka
 
Nahis itakuwa lakin nilikuwa sijui kama kishawaha kuwa cha selikar ngoja nimushawish mshua wangu tukinunue maana kuna wakati kulikuwa kuna kiwanja kilikuwaga kinauzwa hapa mjin nikamshawish baba tukakinunua
Hizo nyumba zote unazoziona hapo, kuanzia ile ambayo imepakana na lile ghorofa sijui la chuo gani vile, naamisha zilipo ofisi za Isamilo bus hadi kule mwisho kwenye ofisi za Saratoga na Adventure zilikuwa nyumba na JMT ila waliuziwa.
 
Hizo nyumba zote unazoziona hapo, kuanzia ile ambayo imepakana na lile ghorofa sijui la chuo gani vile, naamishi zilipo ofisi za Isamilo bus hadi kule mwisho kwenye ofisi za Saratoga na Adventure zilikuwa nyumba na JMT ila waliuziwa.
Aisee lile jengo la kile chuo ni la msukuma mmoja anaitwa igembe nsabo sasa kwanini selikal yetu ni ya kipuuz hivyo kwanini iuze maeneo mazur kama hayo
 
Ilikuwa kipindi cha Rais wetu Mkapa walipofikia maamuzi ya kuuza nyumba za serikali, labda walikuwa na nia njema tu
 
Oky labda huwez jua lakin mimi namhurumia msukuma kile kiwanja kipo mahal pazur sana angekuwepo mzee shinyanga sipati picha angekinunua kwa sh ngap maana yule mzee yeye alikuwa ana dil na viwanja kama hivyo
 
Back
Top Bottom