Malawians Panic over Tanzania’s War Threats

Hapa kazi ipo, ila huyu mama tangu alipoteuliwa kushika madaraka amekua na matukio ya ajabu ajabu......kwanza alianza kwa kuwashughulikia viongozi waliokua chini ya the Late Prof. Mbingu wa Mutharika, Some action ilikua kama kisasi zaidi na mtanikoma sasa kuliko kupitisha maamuzi sahihi kwa ajili ya nchi yake.
Haiingii akilini eti boda iko kwenye fukwe za Tanzania kwamba ukikanyaga maji tu ushaingia Malawi......Huu ni wehu bila kujali hizo helogoland treaty n stuffs.
We need to suport our goverment katika hili though vita sio suluhisho sahihi na pia anaweza kuwa anatumiwa kama Charles Taylor hasa ukitilia maanani kuwa ni juzi tu mama mkuu alikua nchini mwake.
 
Back
Top Bottom