Malawians Panic over Tanzania’s War Threats

kuna mmalawi mmoja ameandika hivi mtandaoni.........

"Tanzania is claiming half of lake Malawi. I've seen several comments/ tweets of "let's just go to war." Haha really? You & what army?"

Wanajua hazina kuna coins tuu Ndio maana wanaandika ivo isitoshe wakina mura wamejenga vitambi tuu hapo Kenya hawajaja na Kilimanjaro Yao waganda na bukoba Yao Jk atamaliza vibaya waziri wa ulinzi Malawi amesema tz haina power kuzuia itafiti wa Mafuta wakati membe anasema wasimame Mara moja kazi ipo Jk kupigana na mwanamke
 
kama wanafuata mpaka ya wajerumani inamaana Rwanda na burundi ziko Tanzania?
 
Nia tunayo,uwezo tunao,nguvu tunayo na sababu ya kumpiga joyce tunayo.
 
Wanajua hazina kuna coins tuu Ndio maana wanaandika ivo isitoshe wakina mura wamejenga vitambi tuu hapo Kenya hawajaja na Kilimanjaro Yao waganda na bukoba Yao Jk atamaliza vibaya waziri wa ulinzi Malawi amesema tz haina power kuzuia itafiti wa Mafuta wakati membe anasema wasimame Mara moja kazi ipo Jk kupigana na mwanamke

amuwowe
 
Wilaya ya Ileje inapakana na Malawi kwa 99% mfano kutoka Isongole mojawapo ya sehemu maarufu huko Ileje mpaka Chitipa mojawapo ya wilaya ya Malawi ni mwendo wa masaa 4 kwa baiskeli,wasiwasi wangu ipo siku hawa jamaa watadai hata Ileje ni sehemu ya Malawi dawa ni kuwachapa tu watie akili
 
Wilaya ya Ileje inapakana na Malawi kwa 99.9% mfano kutoka Isongole mojawapo ya sehemu maarufu huko Ileje mpaka Chitipa mojawapo ya wilaya ya Malawi ni mwendo wa masaa 4 kwa baiskeli,wasiwasi wangu ipo siku hawa jamaa watadai hata Ileje ni sehemu ya Malawi dawa ni kuwachapa tu watie akili
 
Tunahitaji watu makini sana hapa kwenye mpaka maana inaonekana Malawi wamejipanga sana
 
Nafikiri kauli ya viongozi wa tanzania ina walakini maana wamekuwa na hasira kuliko busara
 
Nimekuwa najiuliza kwamba kwanini Rais wa Malawi wakati anasalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alivaa nguo ya kitenge iliyoandikwa 'Mwanza' na 'Tanzania', sasa ninapokuja kusoma ujumbe wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Malawi kwamba ziwa Malawi lote linamilikiwa na Malawi napata hisia kwamba ni ujumbe gani huyu Rais wa Malawi na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani walikuwa wanatutumia, ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi nchi yetu imekuwa haiwezi kuyatumia maji ya ziwa Nyanza (Victoria) kwa ukamilifu kutokana na mkataba ambao utawala wa Waingereza uliokuwa unatawala nchi yetu kabla ya uhuru kuingia na serikali ya Misri, natumaini kwamba majadiliano kuhusu suala hili bado yanaendelea, vivyo hivyo inawezekana Rais wa serikali ya Malawi Bi Joyce Banda (inawezekana vile vile na Bi. Hillary Clinton) alikuwa anatutumia ujumbe kwamba kwanini tunamsakama yeye na nchi yake ya Malawi wakati ziwa Nyanza (Victoria) liko Mwanza lakini hatuwezi kulitumia kwa shughuli nyingi za kimaendeleo na wanalitumia wananchi wa Misri walioko umbali mrefu toka lilipo kwa kutumia mto 'Nile', NI AIBU, NI KEJELI, tubaki tukijifariji tu kwamba labda hakuwa na maana hiyo.
 
Mimi niko Lumbila mwambao mwa Ziwa nimeanza kuchimba handaki la kutosha mimi na wanangu, nawashauri na wenzangu wa mwambao kufanya kazi hiyo.

Kombora moja tu litakuzika na familia yote handakini.... ONDOKA HUKO MWACHE mtoto wa Rais aje kupigana vita hiyo.
 
Hatuna haja ya kushindana kuupepeta hapa, nguvu ya kutetea mipaka yetu kwa njia ya mazungumzo jitihada ziongezeke ilhali tusifikie kwenye mapigano lakini ikibidi hatuna namna mie nasupport mtazamo wa Mh.Membe & Lowasa; ingawa itatucost sana lakini ni heri kuliko dharau hii ya kunyang'anywa mkeo mbele ya wanao na baba/mama mkwe wako.
 
Mi nashangaa ninyi mnaoshabikia mapigano, ya kazi gani kama kuna uwezekano wa mazungumzo? hata kama tutawapiga wamalawi bado tutaingia gharama na tutapoteza pesa na muda mwingi.
 
Aibu ni pale huyu mama akikomaaa na kutupiga.

Hivi kweli Mkuu kakitukung'uta itakuwaje?

Ina maana JK itabidi aikimbie aache kiti wazi? Ila katika hili hata wapinzani nitawaomba walegeze kamba wawe upande mmoja na serekali ya Mk'were. Kwa Malawi kwenyewe tukimpa kisago huyu "Dam" ajue kiti kinaenda na Peter Mutharika, maana hapo ni kipigo hadi tunasimika Rais tunayemtaka! Na vijana itabidi wakae miaka kadhaa wakifundisha Jeshi jipya la Malawi. Aiseee! Ila itakuwa aibu kupigwa na Mabwabwa!!
 
Aibu ni pale huyu mama akikomaaa na kutupiga.

Uwezo wa kutuchapa anao kwenye hazina yetu B.O.T Hakuna kitu kuna coins na noti za jerojero unadhani wanadhani vita ni vuzi ukikosa wembe unanyoa hata ma chupaeee muache joice atuchape ili Jk akiri udhaifu wake. Wenzetu wamesoma alama za nyakati kuwa hatuna ubabe kifedha na mbaya zaidi Uk Ndio wanawafadhili Jk akienda na bakuli lake la umatonya Uk au us anajaziwa coins za cents labda aende irani hapo Ndio atajuta kuchokoza kwa kutegemea nguvu za mwenzako kazi ipo
 
Back
Top Bottom