Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

Status
Not open for further replies.
WADAU NIMEPITIA LEO GAZETI LA NYASA TIMES LA HUKO MALAWI NIKAKUTA JAMAA WANALAANI HOTUBA YA JK ETI ANATAKA KUWAPOKONYA ZIWA LAO KWA NGUVU HIVYO WANASHAURI JESHI LAO LILINDE NCHI YAO KWA SABABU WANATUMIA HELA NYINGI KUNUNUA SILAHA ZA KUWALINDA.

SOMA MWENYEWE HAPA:

NDUGU ZANGU WATANZANIA, LICHA YA UTOFAUTI WETU WA KISIASA NA KIFIKRA, NAOMBA KATIKA MASUALA YANAYOHUSU KULINDA NCHI YETU DHIDI YA UCHOKOZI WOWOTE TUWE KITU KIMOJA. MIMI SIDHANI KWAMBA HOTUBA YA KIKWETE YA JUZI ILITAJA NCHI YOYOTE NA WALA HAIKUWA NA UBAYA WOWOTE. HATA USHAURI ALIOMPA HUYO JAMAA ANAYEPANGA KUMHIT ULIKUWA MZURI WALA HAUKUWA WA KUCHOKOZA NA KULIKUWA NA UWEZEKANO WA KUPOKELEWA AU KUKATALIWA. MI NAMSHAURI JK NA SERIKALI YAKE WAANZE KUTAFAKARI MARA 100 JINSI YA KUONGEZA BAJETI KWA JESHI LETU IKIWA NI PAMOJA NA KUNUNUA ZANA BORA ZA KISASA. HATA KAMA TUNAWEZA TUSIINGIE VITANI LAKINI DALILI HIZI SIYO NZURI KWA AMANI YA NCHI YETU. LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LINAKUJA. WATANZANIA TUWE MAKINI.

××××××××××××××××

Tanzania fire must be met with fire on Lake Malawi row: Editorial

July 27, 2013

Tanzania is sabre-rattling and palpably and loudly beating the drums of war against peaceful Malawi over our jewel in the crown–Lake Malawi and this is beingchampioned by no lesser mortal than President Jikaya Kikwete-himself.

The occasion could not have been grander to whip up emotions and put nationalistic energies on a collision course for war against Malawi over Lake Malawi than the celebration of Tanzania hero’s day-on Thursday-when Kikwete told his compatriots that his armed forces are ready to protect the country against any foreign threats.

But-Kikwete’s outbursts and intimidation, coming at a time when Sadc mediation, led by former Mozambican president Joachim Chissano and former South African president Thabo Mbeki, should not be come as a surprise.

The warmongering is a simply a sign of the fact that-Tanzania knows it has no chance in hell of getting even an inch of Lake Malawi if a more civilised way of dealing with the matter is employed-hence the empty threats of using force to get half of our lake even when historical treaties governing the border say otherwise.

But as Chinua Achebe once intimated,-when a man threatens to defecate or indeed defecates into your house, you do not smile at him but simply break his neck.-Tanzania is threatening to do more and it is to take half of the house by force of violence.

But we, at-Nyasa Times, say this naked aggression should not be allowed to stand unchallenged and fire must be met with fire.

As so many sober-minded commentators have argued times without number, Malawi got a raw deal from the 1884-85 Berlin Conference during which European powers decided to partition Africa and its resources among themselves.

The country is simply grotesquely squeezed in the hand of some Colossus that are its neighbours that it cannot breathe through the unfair boundaries imposed on its people by European rulers that even separated families.

Yet despite this clear historical imbalance and injustice, Malawi has remained meek and peaceful throughout the years when the right course of action would have been attempts to destabilise its neighbours with a view to create more living space for its people.

But it seems this has been taken as a weakness by Tanzania and it has decided to throw its weight around to bully Malawi into submission by use of its so called military might to give up what truly belongs to us—Lake Malawi.

It is in this regard that we call upon our leaders in government for once to rise up and deal with this naked aggression once and for all.

We spend billions of kwachas every year running and equipping our army with modern hardware. Perhaps time has come for that investment to be put to productive use.

Army Commander General Henry Odillo is on record to have assured Malawians to sleep in peace over Lake Malawi, saying his boys and girls are ready to defend the territorial integrity of the nation.To him, we say time has come to make good of that assurance to Malawians.

Lake Malawi belongs to Malawi in its whole entirely and this is backed by historical records that emanated from the Partition of Africa. It is our only crown in jewel and no amount of intimidation should be entertained to give it up and satisfy dangerous ambitions of bloodthirsty leaders like Kikwete who thinks his country’s triumph over a twisted mind like Ugandan Idi Amini many years ago should be used as a launch pad for aggression against Malawi over what truly belong to her.

The die is cast and the country must fight to the bitter end. Tanzanian fire must be met with fire.

Tanzania fire must be met with fire on Lake Malawi row: Editorial | Malawi Nyasa Times - Malawi breaking news in Malawi
Kama noma na iwe noma: kuna haja ya kuitawala Rwanda na Burundi
 
Wanajamvi, Hakuna nchi yeyote duniani ambayo mpaka wake unapita mwisho wa maji (shoreline). Kwenye ziwa Nyasa baadhi ya majengo yaliyokuwa kando kando ya ziwa sasa yamezama hii ni baada ya miaka 20 Tu. Sasa tujiulize je haya majengo yaliyo zama ni ya Malawi? Berlin Conference ilikuwa lini na mpaka ulikuwa wapi? turejee ya kisiwa cha Migingo.
 
Kudadek, Baba mwenye nyumba kama mpira wa kona vile, Malawi, Rwanda, Uganda, Hong Kong, South Africa kote kunataka attention yake. Kweli Upresdaa mgumu.
 
tutampiga huyo joyce banda.....................tena huyo tutamwachia polisi tu. wamlete hapa
 
M2015;I am 100 percent supporting president kikwete on use of fire for aggressors like malawi. tanzanians let us be united on this and people alike
kaungane Na Mkeo/mumeo Usitushirikishe Kwenye Mambo Ya Kingese Kama Hayo.....
 
Hawa jamaa kiukweli wamejitayarisha na tutapigwa...Kwanini??? compare and contrast on CIA figures

Tanzania Military expenditure
Military expenditures:
0.2% of GDP (2005 est.)
country comparison to the world: 169
[see also: Military expenditures country ranks ]

Malawi Military Expenditure
Military expenditures:
1.3% of GDP (2006)
country comparison to the world:
112

Sisi tuliruhusu jeshi likachezewa kwa kuingizwa kwenye biashara ya kifisadi ya power tiller na migodi ya meremeta. Hapo, ndo tulipopotoka, matokeo yake jeshi letu pia limekuwa dhaifu kama ilivyo serikali. Si ajabu wanajeshi wetu hawajawi kufa kwenye operation za nje baada ya vita vya kagera kama wanavyokufa kipindi hiki.
 
tumia kichwa kutunzia ubongo wa kukusaidi kufikiri, na sio kufugia nywele......KIKWETE IS PROTECTING OUT NATION,tumieni akila basi...tatizo tuna mamamluki wengi nchini hapa
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.

Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.
 
Hivi mkuu unaijua historia ya Tanzania? Au ni chuki tu kwa Kikwete?
 
Mkuu inaonekana hata mkeo akikupiga utamlaumu Kikwete
Every and each Tanzanian must support our president in his efforts to protect our country against enemies.Tanzania is our country ,and therefore we must protect it at any cost.Let us unite,set aside our ideological and political differences and give our president full support.Lake Nyasa does not entirely belong to malawi. Malawi's claim is totally against the international law which requires that " When two countries share a river or lake course, the border should be in the middle" People around lake Nyasa should continue with their activities and any sort of threats and intimidations can no longer be tolerated.God bless Africa,God bless Tanzania.

[h=2]Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'[/h]
WADAU NIMEPITIA LEO GAZETI LA NYASA TIMES LA HUKO MALAWI NIKAKUTA JAMAA WANALAANI HOTUBA YA JK ETI ANATAKA KUWAPOKONYA ZIWA LAO KWA NGUVU HIVYO WANASHAURI JESHI LAO LILINDE NCHI YAO KWA SABABU WANATUMIA HELA NYINGI KUNUNUA SILAHA ZA KUWALINDA.

SOMA MWENYEWE HAPA:

NDUGU ZANGU WATANZANIA, LICHA YA UTOFAUTI WETU WA KISIASA NA KIFIKRA, NAOMBA KATIKA MASUALA YANAYOHUSU KULINDA NCHI YETU DHIDI YA UCHOKOZI WOWOTE TUWE KITU KIMOJA. MIMI SIDHANI KWAMBA HOTUBA YA KIKWETE YA JUZI ILITAJA NCHI YOYOTE NA WALA HAIKUWA NA UBAYA WOWOTE. HATA USHAURI ALIOMPA HUYO JAMAA ANAYEPANGA KUMHIT ULIKUWA MZURI WALA HAUKUWA WA KUCHOKOZA NA KULIKUWA NA UWEZEKANO WA KUPOKELEWA AU KUKATALIWA. MI NAMSHAURI JK NA SERIKALI YAKE WAANZE KUTAFAKARI MARA 100 JINSI YA KUONGEZA BAJETI KWA JESHI LETU IKIWA NI PAMOJA NA KUNUNUA ZANA BORA ZA KISASA. HATA KAMA TUNAWEZA TUSIINGIE VITANI LAKINI DALILI HIZI SIYO NZURI KWA AMANI YA NCHI YETU. LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LINAKUJA. WATANZANIA TUWE MAKINI.

××××××××××××××××

Tanzania fire must be met with fire on Lake Malawi row: Editorial

July 27, 2013

Tanzania is sabre-rattling and palpably and loudly beating the drums of war against peaceful Malawi over our jewel in the crown–Lake Malawi and this is beingchampioned by no lesser mortal than President Jikaya Kikwete-himself.

The occasion could not have been grander to whip up emotions and put nationalistic energies on a collision course for war against Malawi over Lake Malawi than the celebration of Tanzania hero’s day-on Thursday-when Kikwete told his compatriots that his armed forces are ready to protect the country against any foreign threats.

But-Kikwete’s outbursts and intimidation, coming at a time when Sadc mediation, led by former Mozambican president Joachim Chissano and former South African president Thabo Mbeki, should not be come as a surprise.

The warmongering is a simply a sign of the fact that-Tanzania knows it has no chance in hell of getting even an inch of Lake Malawi if a more civilised way of dealing with the matter is employed-hence the empty threats of using force to get half of our lake even when historical treaties governing the border say otherwise.

But as Chinua Achebe once intimated,-when a man threatens to defecate or indeed defecates into your house, you do not smile at him but simply break his neck.-Tanzania is threatening to do more and it is to take half of the house by force of violence.

But we, at-Nyasa Times, say this naked aggression should not be allowed to stand unchallenged and fire must be met with fire.

As so many sober-minded commentators have argued times without number, Malawi got a raw deal from the 1884-85 Berlin Conference during which European powers decided to partition Africa and its resources among themselves.

The country is simply grotesquely squeezed in the hand of some Colossus that are its neighbours that it cannot breathe through the unfair boundaries imposed on its people by European rulers that even separated families.

Yet despite this clear historical imbalance and injustice, Malawi has remained meek and peaceful throughout the years when the right course of action would have been attempts to destabilise its neighbours with a view to create more living space for its people.

But it seems this has been taken as a weakness by Tanzania and it has decided to throw its weight around to bully Malawi into submission by use of its so called military might to give up what truly belongs to us—Lake Malawi.

It is in this regard that we call upon our leaders in government for once to rise up and deal with this naked aggression once and for all.

We spend billions of kwachas every year running and equipping our army with modern hardware. Perhaps time has come for that investment to be put to productive use.

Army Commander General Henry Odillo is on record to have assured Malawians to sleep in peace over Lake Malawi, saying his boys and girls are ready to defend the territorial integrity of the nation.To him, we say time has come to make good of that assurance to Malawians.

Lake Malawi belongs to Malawi in its whole entirely and this is backed by historical records that emanated from the Partition of Africa. It is our only crown in jewel and no amount of intimidation should be entertained to give it up and satisfy dangerous ambitions of bloodthirsty leaders like Kikwete who thinks his country’s triumph over a twisted mind like Ugandan Idi Amini many years ago should be used as a launch pad for aggression against Malawi over what truly belong to her.

The die is cast and the country must fight to the bitter end. Tanzanian fire must be met with fire.

Tanzania fire must be met with fire on Lake Malawi row: Editorial | Malawi Nyasa Times - Malawi breaking news in Malawi

Last edited by parachute; Yesterday at 13:53.
 
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.

Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.

Si busara mtu kuropoka iwapo hajuwi kitu. Mbona tayari ziwa hili lishasababisha mapigano kati ya Malawi na Tanzania?
 
Hawa jamaa kiukweli wamejitayarisha na tutapigwa...Kwanini??? compare and contrast on CIA figures

Tanzania Military expenditure
Military expenditures:
0.2% of GDP (2005 est.)
country comparison to the world: 169
[see also: Military expenditures country ranks ]

Malawi Military Expenditure
Military expenditures:
1.3% of GDP (2006)
country comparison to the world:
112
[see also: Military expenditures country ranks ]

Hii ni sawasawa na kufananisha teke la panzi na kidole cha binaadamu
 
Taratibu Malawi nao wanapa ujasiri kuwa wanaweza...CCM hii iliyotolewa ulimi na CDM hata bila silaha.CCM iliyotumia mabomu ya kivita na aya machozi,risasi etc ili kupigana na watu wanaoshangilia mambao yao.bado ikashindwa.Ndipo itapigana na malawi wenye uwezo wa kujieleza wakati CC inatukana.Wenye kusoma na kuzumia prncipal kuandaa mipango y akufany amamabo tofauti kabisa na yale yanafanana na walichosoma.KM watanzania wasiojua kuchanganya principles na fact za masomo husika kupata kitu tofuati cha kusolve problem mpya at hand.Ndio maana wanaweza kuja wageni kusoma chin ya wakufunzi wa kijeshi wa kitanzania.Ila ktk utendaji wakafanya makubwa sna kuliko watanzania.

Anyaway malawi ni corwards ila wakiamka watapiga ngumi ya uoga hadi tuanguke...JK abaki akilala ni CDM waliosababisha, sijui atasemaje tena kuhusu Taifa Stars.
 
To.me I think it is high time Malawi is beaten once and for all and make them behave and respect neighbours. Surely Malawi is a neighbour from hell. What is wrong with their woman president? She should be advised to.deal with her opposers and leave us alone. Currently we have enough on our plate.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kwa vile malawi ni cowards wanaweza wasi challenge rants zako hapa.Malawi wenyewe wana Give in kirahisi na hivyo uwezekano wa vita si mkubwa,ila wakianzisha kaskazini kuzunguka hadi magharibi,nao watapiga ngumi za uoga.Subiri usikie Ziara ya Uhuru itakuwa wapi tena.Ila wangekuwa wanaume,kweli kwa jinsi watanzania mnavyopenda jidai ktk ujinga,wangeyaoga maji.
 
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.

Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.

Kweli hujakosea...hata ugonvi na vyama jirani.Vyama pinzani JK kasababisha.Serikali na raia....kw aujumla huku jamaa sijui hata km alikuwa waziri wa mamabo ya nje mzuri.Hakuna diplomasia ni poroje na hasira za kumlinda akishindwa toa kiitu ya maana.
 
Kama wadau mmekuwa wafuatiliaji wa vyombo vya Malawi ni wachokozi kuliko kawaida. Raia wa kawaida, wanavyuo, wahadhiri, na hata wahubiri wamezidi kutoa kauli chafu na ya matusi kwa Tanzania, k.m warafi, wachoyo, madictator n.k. Watanzania tusi laumu Lugha ya kawaida ya ya Matumaini aliyo itoa Rais Kikwete. Tumwunge mkono maana wanatuchokoza wakijua tumevunjika vunjika vipande. Vipi Banda alipotangaza nayeye kuwa mazungumzo yatakuwepo lakini si ya kutoa hata chembe ya sehemu ya ziwa! Mazungumzo gani sasa. Tanzania viva, wakituchezea tuwachape!
 
Kama mambo ya ndani yamemshinda, CCM na serikali yake DHAIFU itaweza mambo ya nje?
Anafikili kwa kutumia masabuli. wewe ukategemee ushauri wa mwigulu, wasila au nape ndiyo ufanyie kazi matokeo yake ndiyo hayo. Subili akutane na Kagame na Banda ili wamfundishe adabu.
 
Kama ni mtaalama wa takwimu huwezi kulinganisha takwimu zilizotofautiana miaka ya ukusanyanyi wake kama hiyo, kwa jinsi dunia inavyobadilika haraka, tofauti ya mwaka mmoja tofauti yake ni kubwa sana (skewness ya data)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom