Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,157
tatizo tumekua watu wa kwenye internet za kwenye simu na computer sana tu,
tutoke basi twende barabarani!!!
Tutaongea hivi hadi lini?
Tutabaki tu Malawi kumetibuka,
Misri Kumetibuka,
Algeria Kumetibuka,
Lini tutatibua kwetu?
Tutibue basi na hapa kijulikane moja.
tutoke basi twende barabarani!!!
Tutaongea hivi hadi lini?
Tutabaki tu Malawi kumetibuka,
Misri Kumetibuka,
Algeria Kumetibuka,
Lini tutatibua kwetu?
Tutibue basi na hapa kijulikane moja.