Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 527
Naunga mkono hoja mkuu!!!
Mimi pia walinitumia sms ya taarifaWamesema wanafanya marekebisho katika mtandao so baadhi ya vifurushi vingine vinaweza visiwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wew ambaye huna hata kazi na umepauka unakuja na ujinga Kama huuu nani atakusikiliza Kama unataka kuhama hama kimya kimya sio lazima upige kelel haya ndo matatizo yakutokuwa na kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna mitandao yenye gharama kama Tigo na Voda lakini serikali imebaki kukomaa na kusajili line zao. Lazima serikali itambue sasa kuwa mfumuko wa bei za vifurushi katika makampuni ya simu athari zake hazina tofauti na mfumuko wa bei za vyakula. Maendeleo ya kiteknolojia yamefanya simu kuwa kitu muhimu sana kwa mwanadamu,hivyo basi vyombo husika visimamie mifumuko ya hovyo ya bei katika mitandao ya simuWakuu salam za asubuhi hope ziko poa kwenu na mmeamka salama ila mimi hapana nimelala kwa taabu sana jana na joto la jiji hili.
Kisa hawa Tigo wametubadilishia vifurushi na kuweka gharama juu isio mkidhi mlaji. Lakini bado hawajachoka sasa hivi wamekuja na mpya
Unanunua kitu kupitia Tigopesa na pesa ipo ila unaambiwa huna salio la kutosha nimenunua umeme jana asubuhi hadi leo kimya kikuu. Ukipiga numbers zao wapo busy kibaya taarifa za mabadiliko hawajatoa wala nini sasa kilichobaki sasa hivi.
Nikuja na #hashtag #ott operation tokomeza Tigo. Kama wana hasira na line zao kuwekwa ban ni jukumu la kudeal na Serikali sio Wananchi walalahoi.
View attachment 1339200
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna mitandao yenye gharama kama Tigo na Voda lakini serikali imebaki kukomaa na kusajili line zao. Lazima serikali itambue sasa kuwa mfumuko wa bei za vifurushi katika makampuni ya simu athari zake hazina tofauti na mfumuko wa bei za vyakula. Maendeleo ya kiteknolojia yamefanya simu kuwa kitu muhimu sana kwa mwanadamu,hivyo basi vyombo husika visimamie mifumuko ya hovyo ya bei katika mitandao ya simu
sourceWamesema wanafanya marekebisho katika mtandao so baadhi ya vifurushi vingine vinaweza visiwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametuma sms kwangusource
Kuna lolote wamefanya hadi saiv?Tunafanya maboresho katika Mtandao kuongeza ubora wa huduma. Unaweza kushindwa kupata baadhi ya huduma. Samahani kwa usumbufu. Tutakujulisha huduma itakaporejea
Walituma jana hiyo.
Eti nini???????, Hamia Mombasa basiMimi tigo naipenda Sana siwezi kuiacha
Tigo itabaki kuwa juu kileleni.Wakuu salam za asubuhi hope ziko poa kwenu na mmeamka salama ila mimi hapana nimelala kwa taabu sana jana na joto la jiji hili.
Kisa hawa Tigo wametubadilishia vifurushi na kuweka gharama juu isio mkidhi mlaji. Lakini bado hawajachoka sasa hivi wamekuja na mpya
Unanunua kitu kupitia Tigopesa na pesa ipo ila unaambiwa huna salio la kutosha nimenunua umeme jana asubuhi hadi leo kimya kikuu. Ukipiga numbers zao wapo busy kibaya taarifa za mabadiliko hawajatoa wala nini sasa kilichobaki sasa hivi.
Nikuja na #hashtag #ott operation tokomeza Tigo. Kama wana hasira na line zao kuwekwa ban ni jukumu la kudeal na Serikali sio Wananchi walalahoi.
View attachment 1339200
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee Tigo waliwahi kuni tapeli elfu 10 yangu inaniuma hadi Leo. Yani Hawa mbwa nawatumia tu basi Kwa vile Ndio line watu washaizoea halafu sijui hata mtandao gani una afadhali maana voda nao sijawasoma.