Malaika wa Paradiso Mbingu ya tisa

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,972
3,511
Natamani nianze taratibu kuendana na mitetemo ya kufikiri ya kawaida ya binadamu lakini sio malengo yangu kufanikisha kama ambavyo kila mtu angeweza kutamani iwe hivyo.

Sikuwahi kufikiri kama ningeweza kukumbuka au kurudi tena katika hii jehanamu bandia inayoitwa dunia. Jehanamu halisi ipo ni ya kustajabisha sanaa.

Leo nimekumbuka siku ya kwanza na sijui kama itajirudia ila ningependa iwe hivyo. Nilipanda mamba mshikaki kutoka Mara mpaka Mbingu ya Tisa safari ilikuwa ya wiki mbili tu.

Kwanza mamba alikuwa anapaa angani. Ajabu na kweli angani safarini nikiwa mbingu ya sita nilikula kipande cha chocolate hakika kilikuwa cha ajabu sana.

Kilikuwa kina ladha ya mbinguni kabisa, nilishuhudia mengi ya kutisha. Baada ya kurudi duniani na kutua kwa wagogo. Niliweza kuugua sana kwa miezi kama sita .

Sitaki ata kukumbuka niliingia kilabu kule paradiso nikahudhuria sherehe jehanamu nilifurahi sana kuwaona baadhi ya watu mashuhuri waliofariki miaka mingi iliopita.

Kuna muheshimiwa wa nchi jirani nilimuona nilishangaa kuonekana kijana kuliko alivokuwa hapa duniani. Utadhani ana miaka 40's

Matangazo ya paradiso yanatisha sana sijui kama waigizaji wake nao walizaliwa kama sisi wa duniani. Wana lugha za kutisha kwani wakiongea midomo inatoa miale mikali sana kama ile ya fundi welding akiwa anachomelea.

Baada Mwenyeji wangu nusu anitelekeze mbingu ya tisa kwa kujifanya mjuaji apo tulikuwa tunakaribia shinyanga. Tukapumzika nikapata na marafiki ambao tulienda nao katika Motomoto bar. Kule niliona vitu ambavyo sijawahi kuona. Unaweza kuharibikiwa hisia hakuna kununua kila kitu ni hisia na ni bure kabisa.

Kuna wadudu wa ajabu mdudu kama mende anaweza kujigusa na gari kama fuso na likatikisika yaani sisimizi wanaungana wanavuta mnyama mkubwa kuliko Tembo.

Naamini nimewahi kufika sehemu ambayo haipo kabisa katika dunia hii tunayoishi. Kama unafikiria kula bata jaribu kuwaza vitu vingine kwa ufupi hapa duniani ndio jehanamu yenyewe ukifa ndio utaenda kuishi maisha ya ajabu sana. Usipoteze akili yako kuyafikiria ni ya ajabu mno niamini mimi niliekutana na malaika mbingu ya tisa.
 
Alfu lela ulela
 
Unajua mkuu umenitisha na kunishangaza sana!!

Imeandikwa mambo makubwa kimasikhara sana mkuu!!

Ni kweli!?au nahau!?

Hebu ongezea nyama!!

Umepata na mamba hadi mbingu ya tisa!!?what is this!?

Hebu endeleza kwa kina kisa hiki!!!
 
Power struggle.

Umewahi kushuhudia hizi karata zikichezwa?

Kuna na video game ; The Invisible Hand

IMG_6275.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom