thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 201
Yeeeeeeeeeeaah karibu utengwani jombaaWoyoooooooooi!!!chuga ileeeeeee
AsanteMakumira wameachia tayari batch ya kwanza kwa msaada zaidi ingia www.makumira.ac.tz
karibuAsante
Asant sn wangu[/
Daaahhh hebu nijuzeni kuna kitu sijakielewa hapa kuna kozi moja inaitwa foundation of faith hii kitu inahusiana nanini?halafu kozi naona kama kama ni CORE je kwale wasiokuwa wakristo inakuweje hapa?