Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,755
I miss you too...long time sana..how are you?I miss you buddy
I miss you too...long time sana..how are you?I miss you buddy
Goos goodI miss you too...long time sana..how are you?
Sasa kwa mfano mimi ndo kwanza naiona leo hii ID yako....
Itakua upo busy sana...basiId ya 2012 hii
Itakua upo busy sana...basi
Ebu leo ngoja kidogo niweke mambo sawa.
Hapa siku za karibuni pametokea vijana wengi wa kiume (humu jf) wakilalamika sana kuhusu wadada wa jf ama wanao kutana nao kwenye mitandao ya jamii.
Na tatizo lenu kubwa ninyi wanaume mnakosea sana unapo fahamiana ama kuvutiwa na mdada humu jf, moja kwa moja mnakimbilia kutongoza (which is wrong).
Naomba wanaume hasa wa humu niwape tips chache zinazo weza zikawafanya muwapate wadada hawa kwa urahisi kabisa.....
1. Unapo vutiwa na mdada wa humu, jaribu kwanza kujiweka karibu na maandishi yake kama threads na comments, na panapo bidi mtupie like za hapa na pale.
2. Jitahidi kuwa unacomment positive thing kwenye threads zake, na popote unapo mquote.
3. Jaribu kuanzisha mazungumzo nae kwenye public (sio pm). Baada ya hapo anza kuongea nae kule PM, hasa ukianza na salamu ikifuatiwa na habari ama aina ya mazungumzo yanayo mvutiaga hapa jf. Na jitahidi kumpa pole baada ya masaa ya kazi, bila kusahau kumpa pole kila anapo weka thread hapa inayo onekana kumuumiza.
4. Anzisha mazungumzo ya kutamani mfahamiane kama marafiki wa kawaida. Hii itakufanya wewe mwanaume usije ukajutia ama ukajikuta unamtongoza mwana dada ambae sio type na asie mwenye muonekano unao kuvutia.
Na hiki ni kipengele cha muhimu sana ambacho ukikizingatia haito tokea ukakuja hapa jf na kuanzisha uzi wa majuto ya kumtongoza mdada wa jf mwenye sura ya baba yake.
5. Unapo fahamiana na mdada wa humu, anza kuwa smart kwa kichwa na jitahidi sana kumuweka karibu karibu kila siku. Hii itamjenga na ataanza kuwa na imani na wewe, kisha utaona mwenyewe anakupa namba yake na hapo mnaanza sasa kuwasiliana nje ya jf.
Mwanaume wa jf, unapo fikia hatua hii haupaswi uonyeshe uchu ama haraka ya kutaka kuonana ama kumjua zaidi.....
6. Baada ya hayo yote jitahidi kwa akili yako wewe mwanaume ufanye uwezavyo ili uhakikishe unamuona ama mnaonana na mdada husika. Na ukifanikiwa kumuona, hapo sasa ndipo wewe mwanaume unaweza ukathaminisha kama anakufaa ama hakufai, na kama anakufaa basi anza kutupia ndoano kama kawaida.
7. Baada ya hayo yote, pasipo kujali kama umekubaliwa ama umekataliwa..... jitahidi sana kuwa msiri na usitamke ama usionyeshe popote humu jf kwamba eti unafahamiana na mdada flani.
Hili la usiri ninalisisitiza sana kwasababu, hapa ndipo wanaume wengi wa jf tunakwama.
Kumbukeni kwamba hawa wadada wa humu jf, wapo wenye uhitaji wa kweli na pia wapo warembo kama mke wangu.
Na mkiyazingatia hayo, basi mtakua mnajing'olea watoto kiulaini na kuwakula daily kama ninavyo fanyaga mimi..
Ni matumaini yangu utaijibu PM yangu kiroho safi kabisaUshimen fala sana wewe halafu waambie mambo ya kufungua id mpya kila siku kuja pm hatuwakubali na hatujibu, at least reputable id najua kabisa huyu namuonaga onaga humu ngoja nimjibu, sasa id mpya new member anakimbilia pm lazima nitoke baru nitajua tu mnyonya damu.
Ni matumaini yangu utaijibu PM yangu kiroho safi kabisa
Hapo sawa ngoja niandae swaga kwanza za kuja kukulegeza ubaki unàjibu ndioo tu kama wale wapambe wa mjengoniHa ha ha ha Mwifwa nitajibu ukija na id hii.
By the way msalimie wifi
Sent using Jamii Forums mobile app