Makosa ambayo tume ya kulekebisha katiba imeyafanya ni haya!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Katika kitu nahisi kwamba labda hata katiba imeisha andikwa nikutousisha jamii!!Hila kwa hili la kuwapa watu wa sehemu husika dakika 30! Watoe maoni ni kukiuka katiba kwani kwa dakika 30 ni ndogo sana kwa watu zaidi ya 5!hivyo mimi nawashauri Tume ya katiba waanzishe group kwenye mitandao ya kijamii!kwani ni raisi kupata maoni kuliko kwenda vijijini na kuwapa dakika 30!Hata mkiomba kwa uongozi wz JamiiForums nadhani watawapa ukumbi!nasema hivyo kwakuwa najua JF wametoa forums kwa ajili ya Katiba!Mkiwa na mawazo ya kiitikadi basi hii katiba itakuwa ilw ile!
 
Hapa panahitajika baraza la katiba. Kwani mchako uemshaanza kuchakachuliwa na hasa wakuu wa wilaya. Kuna baadhi yao wanawaambia wananchi nini cha kusema. Legal and Human Rights Centre wanadata
 
Nimeanza kuingiwa na wasiwasi kwamba katiba itakayopatikana si ile ambayo itaungwa mkono na Watanzania walio wengi bali itakuwa ni ile ambayo imechakachuliwa ili kulinda maslahi ya Magamba.

Back
Top Bottom