Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

nampongeza.komredi makongoro,kwa kuona mbali, chama cha baba yake siku zake zinaesabika. ukishaona chama chochote duniani kinawapuuza wananchi wake ujue ni chama marehemu mtarajiwa.

Naam naam!! Umesema ukweli mtupu! Wasipomuomba msamaha jaji Joseph Sinde Warioba na kurudisha rasimu njia kuu ccm kinasambaratika kabla ya 2015!

Mwl .Nyerere aliwahi kusema; " watanzania wanataka nabadiliko, wasipoyaona ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm"

Akaenda bali zaidi aliposoma katiba ya Chadema akawaambia ccm kuwa, msiangaike na vyama vingine hiki chama kitakuja kushika dola. Makongoro hongera sana unafuata nyayo za baba yetu wa Taifa.
 
hata kilichowafanya kuendelea kuwepo mpaka leo sio utawala bora wala nn......vyombo vya usalama ndo vmebeba hki chama chakavu.....meno ya tembo na unga ndo sera yao mpya

Hawafai kabisa hawa magamba naomba yasambaratike mapema zaidi tumeyachoka.ccm inataka kutuaminisha kwamba yenyewe inauaminifu sana katika ndoa yao na wananchi? Tumewachoka!
 
Katika makada wa ccm ambao wanauwezo wa kukemea misimamo ya ccm isiyokuwa na tija kwa taifa ni Makongoro,Mzee Butiku na Jaji Warioba
 
Alichokisema makongoro ni sahihi kabisa maana makundi ndani ya chama chetu yamezagaa. Na mbaya zaidi ni mchakato wa katiba unazidi kutuweka pabaya zaidi. Tusipo heshimu maoni ya wananchi na kujidanganya kuwa nguvu ya dola itatumika kulinda mchakato na masilahi ya wachache kuliko wengi, tutakuwa tumekwisha.
 
Ata Baba wa Taifa ambaye ni Baba yake alikuwa anawakemea CCM wazi wazi lakini hawa Viongozi wao wa Sasa walishapoteza Dira wengi wapowapo tu na Siasa zao za Makundi tunawasubiri 2015.
 
Katika makada wa ccm ambao wanauwezo wa kukemea misimamo ya ccm isiyokuwa na tija kwa taifa ni Makongoro,Mzee Butiku na Jaji Warioba

Ni kweli hapo hakuna pingamizi,mungu awabariki sana na azidi kuwapa moyo wa ujasiri dhidi ya kulilinda na kulitetea taifa letu bila kujali maslahi ya chama chao
 
Ndani ya chama kila mtu anamuogopa mwenzake why?

Hii inatokana na ubabe wa watu fulani waliojiona wao ni miungu watu wasiotaka kukosolewa pale wanapokosea,kila watakachofanya hata kama ni makosa wao wanataka wasifiwe hata kama hakina maslahi kwa taifa.Ccm ilikuja kwa udongo na sasa inarudi kwa udongo,upumzike kwa amani ccm
 
Magamba yameanza kupata tumbo joto baada ya Makongoro kuwasha moto[/QUOTE
Mkuu yaani hayana pa kuchomokea 2015 yalishapoteza Dira tutayachalaza vibaya sana,huwa hayapendi kuambiwa Ukweli yanawaza Ufisadi tu yamesahau yaliyowakuta Kanu we subiri tu 2015.
 
Hii inatokana na ubabe wa watu fulani waliojiona wao ni miungu watu wasiotaka kukosolewa pale wanapokosea,kila watakachofanya hata kama ni makosa wao wanataka wasifiwe hata kama hakina maslahi kwa taifa.Ccm ilikuja kwa udongo na sasa inarudi kwa udongo,upumzike kwa amani ccm

Chama bado kilikuwa na nguvu tatizo liko kwa mkuu wa nchi kutokufanya maamuzi magumu.

Tume ya ya Rais chini ya mwenyekiti wake Jaji Warioba ilifanya kazi nzuri sana inayosifiwa na kila mtu isipokuwa Sitta peke yake.

Namfananisha Warioba kama mtu aliyefyeka pori nene; akang'oa visiki na kulima shamba kisha akamkabidhi mkulima aitwaye Sitta ili apande mbegu, apalilie mpaka kuvuna matunda.

Mkulima Sitta, cha ajabu ameamua kula mbegu! Akapanda mbigiri na magugu na tumaini la kupata matunda toka kwenye hilo shamba hakuna tena.
 
Asilimia kubwa ya wenzangu wa ccm watapinga jambo hili,ila hauhitaji kufikiri sana na kugundua kwamba alichokisema makongoro ndicho kinatimia.Ukitaka uonekane mbaya katika chama chetu cha mapinduzi basi we tetea ukweli wao wasiopenda kuusikia au kuusimamia
 
Ngoja chama chako kife,na kikifa sijui utakuja chadema
 
Huyu ndiye mtu pekee ndani ya ccm ambaye siku akitaka kugombea uraisi kura yangu nitampa,lakini magamba mengine tupa kule
 
Obama mwenyewe alikuwa anakula ndumu, lakini akiwaita viongozi wa Afrika wenye ma-PhD kwenda kupewa maagizo, akina Fastjet wanakimbia mpaka wanataka kuvunja miguu! Ulevi wwte ni starehe ya mtu binafsi wala hakuna mahusiano na hekima ya mtu. Sitta hatumii madawa ya kulevya lakini ana akili matope kabisa.
 
Back
Top Bottom