Makonda nakuamini, usirudi nyuma

Magufuli 05

JF-Expert Member
May 7, 2023
947
1,990
Kwanza nchi zote Duniani zimejengwa na watu imara yaani strong men. Hakuna hata nchi moja iliyojengwa na watu dhaifu. Makonda wewe ni mtu imara, kila nikikuangalia na kukusikiliza moyo wangu unaniambia kabisa kwamba wewe ni mtu sahihi kwasasa kuipeleka kasi nchi yetu na kwa wakati huu ambao nchi ipo kwenye ombwe la uongozi.

Nasema ipo kwenye ombwe kwasababu kwasasa kuna kikundi tu ambacho kimejigeuza kuwa command center. Chama kimetekwa na kikundi, Dola imetekwa na kikundi. Taasisi ya Urais si imara tena kama ilivyokuwa awamu ya tano.

Ni mjinga yupi anabisha kwamba mataifa yote yamejengwa na watu imara? China imejengwa na mao na sasa Xi jinping.

Russia imejengwa na Kerensky, Lenin na sasa Putin. Cuba imejengwa na Fidel Castro. German imejengwa na Otto von Bismarck.

Uingereza ilijengwa kipindi cha Tudor.
Katika historia ya Dunia ni nadra Sana kupata mwanamke imara katika masuala ya uongozi. Dunia ilibahatisha kumpata Margaret thatcher na Indira Gandhi ambao walifanya kazi nzuri kweli.

Sisi Tanzania kwasasa tuna kiongozi dhaifu mno ambaye kamwe hawezi kuipeleka nchi kwa kasi badala yake itarudi nyuma Sana. Wajinga na matapeli ndiyo wangependa aendelee. Lakini kamwe mtanzania mzalendo hawezi kupenda kiongozi huyu aendelee. Ni tamaa tu ndiyo zitamfanya aendelee lakini kwenye mioyo ya wengi hayumo.

Makonda, najua una maadui wengi hasa kwa msimamo wako wa kuwa mfuasi wa Rais Magufuli na hiki ndiyo kimewafanya wakutoe kwenye uenezi kwenda kuwa RC.

Jiamini kaka. Nikupongeze kwa msimamo wako na ndivyo wanaume hupaswa kuwa. Makonda, kwenye chama hicho ulichopo sasa hivi hutaweza kaka, Mimi nakusihi ikikupendeza 2025 chukua fomu kupitia chama kingine tu waachie chama chakavu hicho ambacho kimeacha misingi ya kibinadamu, kizalendo na ya baba wa taifa na sasa ni chama cha matapeli tu.

Angalia makonda, naandika Uzi huu sasa hivi nchi nzima ipo gizani toka saa nane usiku na hatujui Shida ni Nini. Je tutateseka Hadi lini? Nani atatukomboa sisi Watanzania kama siyo wewe na akina bashiru, polepole, kabudi na wazalendo wengine?

Jiamini makonda kwamba mabadiliko yanaweza kupatikana hata nje ya chama chakavu. Wengi ni waoga kutoka humo.

Hebu Angalia Senegal,kijana mwenzio kashinda. Makonda plz ondoka chama hicho. Watu imara hukomboa mataifa Yao na Dola zao.

Mkwawa alikuwa imara
Abushiri alikuwa imara
Bwana heri alikuwa imara
Sekou toure alikuwa imara.
Mansa alikuwa imara
Isike alikuwa imara
Nyungu ya mawe wa ukimbu alikuwa imara.
Nyerere alikuwa imara.
Samora alikuwa imara
Lumumba alikuwa imara
Kabaka alikuwa imara
Tanzania yetu inahitaji mtu imara huyu wa sasa hapana.

Huwa najisikia vibaya ninapotembelea nchi za wenzetu namna wamezijenga halafu nikiangalia Tanzania naona kama tumerogwa kabisa. Nenda Qatar kaone, nenda Dubai kaone,nenda hata saudi Arabia. Masikini utasema tu nchi yetu imerogwa.

Makonda nenda, makonda okoa Tanzania, wazalendo wote kataeni ujinga wa mama mitano Tena. Iangalieni Tanzania na vilivyomo.
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
 
Nchi inahe
Kwanza nchi zote Duniani zimejengwa na watu imara yaani strong men. Hakuna hata nchi moja iliyojengwa na watu dhaifu. Makonda wewe ni mtu imara .kila nikikuangalia na kukusikiliza moyo wangu unaniambia kabisa kwamba wewe ni mtu sahihi kwasasa kuipeleka kasi nchi yetu na kwa wakati huu ambao nchi ipo kwenye ombwe la uongozi. Nasema ipo kwenye ombwe kwasababu kwasasa kuna kikundi tu ambacho kimejigeuza kuwa command center. Chama kimetekwa na kikundi,Dola imetekwa na kikundi. Taasisi ya Urais si imara Tena kama ilivyokuwa awamu ya Tano.
Ni mjinga yupi anabisha kwamba mataifa yote yamejengwa na watu imara??
China imejengwa na mao na sasa Xi jinping.
Russia imejengwa na Kerensky ,Lenin na sasa Putin
Cuba imejengwa na Fidel Castro
German imejengwa na Otto von Bismarck.
Uingereza ilijengwa kipindi cha Tudor.
Katika historia ya Dunia ni nadra Sana kupata mwanamke imara katika masuala ya uongozi. Dunia ilibahatisha kumpata Margaret thatcher na Indira Gandhi ambao walifanya kazi nzuri kweli.
Sisi Tanzania kwasasa tuna kiongozi dhaifu mno ambaye kamwe hawezi kuipeleka nchi kwa kasi badala yake itarudi nyuma Sana. Wajinga na matapeli ndiyo wangependa aendelee. Lakini kamwe mtanzania mzalendo hawezi kupenda kiongozi huyu aendelee. Ni tamaa tu ndiyo zitamfanya aendelee lakini kwenye mioyo ya wengi hayumo.
Makonda,najua una maadui wengi hasa kwa msimamo wako wa kuwa mfuasi wa Rais Magufuli na hiki ndiyo kimewafanya wakutoe kwenye uenezi kwenda kuwa RC.
Jiamini kaka. Nikupongeze kwa msimamo wako na ndivyo wanaume hupaswa kuwa.
Makonda, kwenye chama hicho ulichopo sasa hivi hutaweza kaka, Mimi nakusihi ikikupendeza 2025 chukua fomu kupitia chama kingine tu waachie chama chakavu hicho ambacho kimeacha misingi ya kibinadamu,kizalendo na ya baba wa taifa na sasa ni chama cha matapeli tu.
Angalia makonda,naandika Uzi huu sasa hivi nchi nzima ipo gizani toka saa nane usiku na hatujui Shida ni Nini. Je tutateseka Hadi lini? Nani atatukomboa sisi Watanzania kama siyo wewe na akina bashiru,polepole,kabudi na wazalendo wengine?
Jiamini makonda kwamba mabadiliko yanaweza kupatikana hata nje ya chama chakavu. Wengi ni waoga kutoka humo.
Hebu Angalia Senegal,kijana mwenzio kashinda. Makonda plz ondoka chama hicho .
Watu imara hukomboa mataifa Yao na Dola zao.
Mkwawa alikuwa imara
Abushiri alikuwa imara
Bwana heri alikuwa imara
Sekou toure alikuwa imara.
Mansa alikuwa imara
Isike alikuwa imara
Nyungu ya mawe wa ukimbu alikuwa imara .
Nyerere alikuwa imara.
Samora alikuwa imara
Lumumba alikuwa imara
Kabaka alikuwa imara
Tanzania yetu inahitaji mtu imara huyu wa sasa hapana.
Huwa najisikia vibaya ninapotembelea nchi za wenzetu namna wamezijenga halafu nikiangalia Tanzania naona kama tumerogwa kabisa. Nenda Qatar kaone, nenda Dubai kaone,nenda hata saudi Arabia. Masikini utasema tu nchi yetu imerogwa.
Makonda nenda, makonda okoa Tanzania, wazalendo wote kataeni ujinga wa mama mitano Tena. Iangalieni Tanzania na vilivyomo.
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
[/QUOT

Nchi inajengwa na mkuu wa mkoa? Wewe bana? Nchi inajengwa na misingi bora ya Taasisi na katiba bora.
Ingalikuwa nchi ya kiislam ningalikwambia nchi inajengwa kwa kutumia quran kikamilifu
 
Hivi unapo sema Samia hafai ila Makonda unamaanisha nini? Kwasababu Makonda kawekwa na Samia ili kuwa sehemu ya kusaidia nchi kama walivyo wengine wengi.

Unapo sifia ,acha na balance
 
Huyo mpuuzi asiye ana akili, mporaji wa mali za watu na muuaji ndo unamsifia humu kuwa ni strong man?

Ana kipi cha maana alichowahi kukionesha kinachokuonesha Tanzania itakuwa nchi bora katika miaka 50 au 100 ijayo zaidi ya Cheap popularity tu?
 
Makonda usisahau kama huna digree nenda kasome kuna mambo mazuri yanakujia kuna baadhi ya mambo vigezo lazima uwe na digree
 
Unaweza ukataka kusonga mbele lakini ukarudishwa nyuma. Hapo amesharudishwa au huoni? Wasiorudi nyuma wapo huru kwenye vyama vyao
 
Alisha wai kusema Viatu vya magufuri havini toshi so ana fanya kwa uwezo wake tusi mfananishe

Kwani

Pamoja na mapungufu yake ana mazuri yake

Pamoja na mabaya yake ana mema yake

Mwisho haijarishi ni kilema mbaya au mlevi lakini huyu ndiye Raisi wetu
 
Kama kuna mtu anahitajika sana kwa manufaa ya watu wa hali ya chini basi mtetezi ni Paul Makonda.Kijana jasiri mwenye uthubutu na asiyemuogopa wala kutishwa na mtu yeyote.Makonda ni zaidi ya bulldozer!
 
Kwanza nchi zote Duniani zimejengwa na watu imara yaani strong men. Hakuna hata nchi moja iliyojengwa na watu dhaifu. Makonda wewe ni mtu imara, kila nikikuangalia na kukusikiliza moyo wangu unaniambia kabisa kwamba wewe ni mtu sahihi kwasasa kuipeleka kasi nchi yetu na kwa wakati huu ambao nchi ipo kwenye ombwe la uongozi.

Nasema ipo kwenye ombwe kwasababu kwasasa kuna kikundi tu ambacho kimejigeuza kuwa command center. Chama kimetekwa na kikundi, Dola imetekwa na kikundi. Taasisi ya Urais si imara tena kama ilivyokuwa awamu ya tano.

Ni mjinga yupi anabisha kwamba mataifa yote yamejengwa na watu imara? China imejengwa na mao na sasa Xi jinping.

Russia imejengwa na Kerensky, Lenin na sasa Putin. Cuba imejengwa na Fidel Castro. German imejengwa na Otto von Bismarck.

Uingereza ilijengwa kipindi cha Tudor.
Katika historia ya Dunia ni nadra Sana kupata mwanamke imara katika masuala ya uongozi. Dunia ilibahatisha kumpata Margaret thatcher na Indira Gandhi ambao walifanya kazi nzuri kweli.

Sisi Tanzania kwasasa tuna kiongozi dhaifu mno ambaye kamwe hawezi kuipeleka nchi kwa kasi badala yake itarudi nyuma Sana. Wajinga na matapeli ndiyo wangependa aendelee. Lakini kamwe mtanzania mzalendo hawezi kupenda kiongozi huyu aendelee. Ni tamaa tu ndiyo zitamfanya aendelee lakini kwenye mioyo ya wengi hayumo.

Makonda, najua una maadui wengi hasa kwa msimamo wako wa kuwa mfuasi wa Rais Magufuli na hiki ndiyo kimewafanya wakutoe kwenye uenezi kwenda kuwa RC.

Jiamini kaka. Nikupongeze kwa msimamo wako na ndivyo wanaume hupaswa kuwa. Makonda, kwenye chama hicho ulichopo sasa hivi hutaweza kaka, Mimi nakusihi ikikupendeza 2025 chukua fomu kupitia chama kingine tu waachie chama chakavu hicho ambacho kimeacha misingi ya kibinadamu, kizalendo na ya baba wa taifa na sasa ni chama cha matapeli tu.

Angalia makonda, naandika Uzi huu sasa hivi nchi nzima ipo gizani toka saa nane usiku na hatujui Shida ni Nini. Je tutateseka Hadi lini? Nani atatukomboa sisi Watanzania kama siyo wewe na akina bashiru, polepole, kabudi na wazalendo wengine?

Jiamini makonda kwamba mabadiliko yanaweza kupatikana hata nje ya chama chakavu. Wengi ni waoga kutoka humo.

Hebu Angalia Senegal,kijana mwenzio kashinda. Makonda plz ondoka chama hicho. Watu imara hukomboa mataifa Yao na Dola zao.

Mkwawa alikuwa imara
Abushiri alikuwa imara
Bwana heri alikuwa imara
Sekou toure alikuwa imara.
Mansa alikuwa imara
Isike alikuwa imara
Nyungu ya mawe wa ukimbu alikuwa imara.
Nyerere alikuwa imara.
Samora alikuwa imara
Lumumba alikuwa imara
Kabaka alikuwa imara
Tanzania yetu inahitaji mtu imara huyu wa sasa hapana.

Huwa najisikia vibaya ninapotembelea nchi za wenzetu namna wamezijenga halafu nikiangalia Tanzania naona kama tumerogwa kabisa. Nenda Qatar kaone, nenda Dubai kaone,nenda hata saudi Arabia. Masikini utasema tu nchi yetu imerogwa.

Makonda nenda, makonda okoa Tanzania, wazalendo wote kataeni ujinga wa mama mitano Tena. Iangalieni Tanzania na vilivyomo.
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
Unaweza kukuta eti huyu nae ni graduate!
 
Unamwamini? Are you a man? Mkewe asemaje Sasa??
Mwamini Mungu usimtegemee binadamu!! POLE SANA
 
kunywa pakti mbili za sumu ya panya hapo NTALIPA...huna faida
 
Usichanganye mtu imara na mwovu kupitia madaraka. Makonda ni muovu aliyepata madaraka kwa njia za kujipendekeza. Tuonyeshe uimara wake nje ya madaraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom