Makonda na uchochezi wa kijinga

Ujumbe huu nivema akaupata makonda nadhani kuna jambo atajifunza.

Ila kwakweli tumejisikia vibaya kwa wewe kutokwepo siku hiyo ya kukumbukwa.
Alhamdulillah sikuwepo lakini nigekuwepo ningekuwa mstari wa mbele kabisa. Ungeniona napiga selfie na kina Kagere na John Boko.

Unafahamu nini alikisema Kagere alipoulizwa ameonaje kuhusu tukio hilo? Kama una ubinaadam hata kidogo basi ungebubujikwa na machozi.

Walioalikwa ni wale ambao wengi wetu huwaita "masikini" na mkuu wa Mkoa ka arrange wale watu maarufu na watu wenye hadhi ndiyo siku hiyo walikuwa wahudumu wao.

Ni jambo kubwa sana lililofanyika na AlhamduliLlah limefanyika mwezi mtukufu, mwezi wa rehma, mwezi wa toba na maghfira. Mwezi ulioteremshwa Qur'an.

Mwezi wa kusameheana, mwezi wa kuwa wenyeyekevu kwa ibada na maisha yetu. Mwezi wa kuelewa mtu akikwambia nna njaa inamaaniaha nini.

Halafu event kama hiyo kutayarishwa na asiye Muislam kujumuisha Waislam na wasio Waislam wenye afya zao na walemavu, wenye hadhi na wasio na hadhi, hakika ni jambo kubwa sana kwa wenye kutafakari japo kidogo.

Hiyo maana yake tunaipata kwenye Qur'an, soma hiyoooo...

Qur'an 3:

3_64.gif

64. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudi- eni ya kwamba sisi ni Waislamu. 64

Say: "O People of the Book! come to common terms as between us and you: That we worship none but Allah; that we associate no partners with him; that we erect not, from among ourselves, Lords and patrons other than Allah." If then they turn back, say ye: "Bear witness that we (at least) are Muslims (bowing to Allah's Will).
 
Wewe pilau umeijulia wapi?

pilau kaijulia kwa waislamu kwani wakristo wanajua kupiga ? hawajui nenda kwenye hotel zao ukale ukiambiwa pilao utafikiri makande. ustaraabu woote nauvaaji na upikaji wamefundishwa na waislamu :
 
Halafu anajua fika kuwa Bakwata hawajui kusoma ila wanajua kula minofu na Biriani

Usimlaumu yeye walaumu hao ambao wakianza kula huwa hawaangaliagi pembeni kwa kuogopa kumaliziwa nyama.
Hahahaha...
 
Unajua watu wanaahindwa kuuelewa uislam. Kwanza mimi nilikuwepo kwenye hiyo tafrija. Hiyo si kweli kama makonda amefanya hivyo. Nyie mnaowakebehi na kuwatukana waislam sio wa mwanzao wala wa mwisho. Nyinyi mlishatajwa kwenye qur'an tangu miaka 1400 iliyopita. Hivyo mnonekana wajinga tu hamna jipya mnalolisema.
 
Kwa kuwa Bakwata haijatajwa mahala popote katika kitabu takatifu wala misingi ya dini ya kiislam si vyema tukaiusisha moja kwa moja na uislam.

Wanatumia mwamvuli wa uislamu, na wanajulikana kama chombo cha kusimamia maslahi ya waislamu nchini japo si lengo lao hilo.
 
Huyu makonda ama kweli hashishiki tena, sijua kawaroga watu. Maana anafanya vitendo vya ajabu, na bila ya kufikiria hisia za wale watu walioko pale ama jamii kwa ujumla.

Sasa hivi karibuni ameandalia waislamu futari pale Diamond Jubilee Hall, ni jambo jema.

Mtu unajua unealika waislamu kongamano la hao ndugu zetu, alafu unafanya mipango uletewa TShirt inayosema JESUS IS MY SAVIOR, na asilimia 100 ya waliopo hapo ni , watu wanaosema Mkombozi wa kidini ni Mohamad.

Jee RC Makonda unamaanisha nini kufanya hivyo?
Jee umewaalika hai Waislamu na kuwaambia mmepotoka.
Jee ulikuwa unasambaza dini katika ukumbi wa waumini wa dini nyengine.

RC Makonda, Tafadhali sana tena sana, umeikuta Dar yetu ni pahali makini penye amani, hatujakuwa na matatizo ya kidini na wala hatuyataki, Tafadhali wacha kutafuta kiki kwa kuyatumia madaraka yako vibaya.

Na nikuhakikishie, hizi chonganishi zako, hazitavuna lolote, kwani sisi watanzania tunapendana bila kujali dini zetu wala mengine yawezayo kututenganisha.

Ukitaka kujua hili tukio ni la kinafiki na limepangwa kutugawa, kwenye hiyo meza wako makonda na huyu anayejiita Shekhe ambaye ni mnafiki mkubwa na kuwadi kama yeye. Huyo shekhe amekaa kwenye nyadhifa hiyo kwa nguvu ya serekali, waislamu hawampendi, hawamsikilizi na hata wengine hawakubali kuswalishwa naye au kumhusisha kwenye ibada zozote, wanamuona kama shetani vile.View attachment 1113887View attachment 1113888

Hapo uliposema kuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hapendwi na Waislamu wenzake nakubaliana nawe kwa 100% kwani katika pitapita zangu maeneo yao ( Waislamu ) huyu Sheikh anazungumzwa vibaya mno hadi kuna wengine wanaombea ikiwezekana basi hata ' Israeli ' awahi atimize tu Wajibu wake Kwake. Na sababu za Wao Kumchukia na Kutompenda zipo nyingi tu ila kuna Moja ni mbaya ambayo hata Mwenyezi Mungu na Kupitia Vitabu vyake mbalimbali vya Kiimani aliipinga, aliikataza na aliilaani vikali kama siyo vibaya mno. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Umemaliza kula futari ya nguruwe toka kwa kafiri

Poor islam, Umaskini huu mpaka mnalishwa viazi vimepikwa na mafuta ya kitimoto

Ahaaa nani achinje baada ya mchungaji kuungia mboga mafuta ya nguruwe
Nafahamu roho zinawauma sana. Hayo ndiyo maajabu ya Ramadhan.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
 
Hapo uliposema kuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hapendwi na Waislamu wenzake nakubaliana nawe kwa 100% kwani katika pitapita zangu maeneo yao ( Waislamu ) huyu Sheikh anazungumzwa vibaya mno hadi kuna wengine wanaombea ikiwezekana basi hata ' Israeli ' awahi atimize tu Wajibu wake Kwake. Na sababu za Wao Kumchukia na Kutompenda zipo nyingi tu ila kuna Moja ni mbaya ambayo hata Mwenyezi Mungu na Kupitia Vitabu vyake mbalimbali vya Kiimani aliipinga, aliikataza na aliilaani vikali kama siyo vibaya mno. Naomba niishie hapa tafadhali.
Sema tu kama ile ya 80% ya Mapadri na Maaskofu wa Vatikano. Mie nasema ile ni 100% siyo 80%.

Mwenzenu huyo.
 
pilau kaijulia kwa waislamu kwani wakristo wanajua kupiga ? hawajui nenda kwenye hotel zao ukale ukiambiwa pilao utafikiri makande. ustaraabu woote nauvaaji na upikaji wamefundishwa na waislamu :
Wakristo wamefundishwa uvaaji gani na waislam?

Na hiyo pilao waislam walifundishwa na nani kuipika?

Slavery mentality that dived us. Baguzi wahed!

Hapo basi na wewe unajiona umechangia kweli kweli kwenye maendeleo ya viwanda.
 
Nafahamu roho zinawauma sana. Hayo ndiyo maajabu ya Ramadhan.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
Sio maajabu, Hii nchi waislam mnaonewa sana, Masheikh wamekamatwa kisawasawa

Wazee wa nyaraka kimya, Angetawala muislam mnatishwa mpaka mnaomba poo
 
Sema tu kama ile ya 80% ya Mapadri na Maaskofu wa Vatikano. Mie nasema ile ni 100% siyo 80%.

Mwenzenu huyo.
Tatizo hamuwezi muundo wa
Katoliki, Askofu wa jimbo ndie mamlaka kuu jimboni kwake

Askofu mkuu Songea ana mamlaka eneo lote la utawala wake, Kila askofu akifika Songea atakuwa chini ya mamlaka ya hapo Songea

Waislam misikiti yenyewe shaghala bagala

Jengeni misikiti mizuri, uvivu na ubahiri huo

Hamuoni aibu jinsi makanisa ya Katoliki na nyumba za viongozi zinapendeza

Katoliki hata ukasikia padri Mbeya ana watoto bado Mbeya watajenga makanisa kwani Imani Katoliki sio padri

Katoliki kila aliyebatizwa Yeye ni kanisa kamili na amepewa ukuu kueneza injili

Katoliki padri abake waumini wanamsamehe na kuona kondoo kapotea

Imani Katoliki inajengwa kwa msamaha

Uislamu hujengwa kwa itikadi za kujilipua na kula tigo
 
Je Mzee Ruksa ktk kipindi cha uongozi wake alijua kuwa Bakwata ni tawi la Katoliki?
Kama kweli iko hivyo je alifanya nini kutenganisha Bakwata na Ukatoliki?
Je na Mkwere pia ktk kipindi cha uongozi wake alijua hilo? Je alifanya juhudi gani kutetea dini yake?
Ndugu, husipende kupotosha watu!
Ipo hivi, Waislam wanaonekana watu wanaoweza kuvuruga amani ya nchi kutokana na itikadi zao za kidini zilivyo haswa zikichanganyikana na siasa ni balaa zaidi

Ili kuwa contain serikali ikaanzisha taasisi ya Kiislam itakayokuwa inaongozwa na Waislam inayowaona ni 'salama'
 
Back
Top Bottom