mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,772
- 2,171
Wakuu nauliza muda ambao Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda ambazo alimpa Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi unatazamiwa kuisha lini? Je tangu agizo hilo litolewe migogoro imepungua? Na je ikidhihirika kwamba tatizo la migogoro ya ardhi bado liko pale pale Makonda anaweza kumchulia hatua Waziri Mkuu?