Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

4465db96be79a81e242ac67593f8eda0.jpg
 
Kweli toka hii habari ianze wahusika halisi bado watakuwa wamekaaa kizembekizembe wajikamatishe?
Lazima mfumo wao wote watakuwa wameshauvuruga kupoteza ushahidi na ramani,
Labda ni vita nyingine inaendelea.
 
Kiburi chake kikubwa sababu katumwa na magufuli,nyinyi hamjui kusoma alama za nyakati ndio maana magufuli leo alikuwa na hasira sababu plan ya watu wawili imefeli.
 
Mzee wa kiki @ work.
Ameandaa mabilioni ya kulipa fidia na za kulipia coverage ya kusafisha anaowachafua?
Naona hujamskia magu Leo. Rais anamsapoti makonda Kwa 100%.hakuna cha fidia wala babu Yake fidia tena Kwa wauza ngada.. Never rais amesema
 
If I may ask.. who is/was the perfect person to fight this battle. am not taking sides here but I think am not getting the picture right. em tusogee sogee na haya majina hadi hapo ambapo mtu perfect/right for calling out the names atakapo chkua usukani because as far as I remember the list has been flying around from mouths in televisions to our ears for about a decade or two! Isn`t it our goal as a nation to help the affected youths? because if the problem is the manner of calling out names and treating them like convicted criminals then lets start from there maana kila napopita it looks like hatutaki kabisa kuskia hili swala or may be majina mnayoyaskia sio mnayotaka kuyaskia? my point is nani anatakiwa kuita watu kwa mahojiano kuhusu madawa ya kulevya? na nani ni mtu sahihi kushkilia bango hili swala
 
Kesho tunataja wengine

hakuna blah blah hapa, semeni yote tukaneni, tuna support yote Makonda
 
Kweli toka hii habari ianze wahusika halisi bado watakuwa wamekaaa kizembekizembe wajikamatishe?
Lazima mfumo wao wote watakuwa wameshauvuruga kupoteza ushahidi na ramani,
Labda ni vita nyingine inaendelea.
Yanayofuatia ni kuoneshana nani ana nguvu, nani mwanamume suruali na nani mwanamume shati! Hakuna cha vita dhidi ya madawa wala nini! Ubabe, ubabe, ubabe - mimi ndiye mkuu wa nchi, mimi ndiye mkuu wa mkoa, basi!
 
Watetez wa wauza unga jipangeni na kesho muwatee Ila central police hatutaki kuwaona.. Kama hamuamini muje MUONE
 
Back
Top Bottom