Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

Newtons third law of motion action and reaction are equal and opposite, there in hangs jet propulsion.I learn thrust of typical jet engine is 220000 newtons.
 
Weka hapa tuone au tupe source.
Nimepitia tena hilo bandiko, serikali imenunua na atc ndio wanaokodisha kwa serikali.
LONDON – Air Tanzania has become the first African carrier to take delivery of the Airbus A220-300. Representatives of the airline and officials from the United Republic of Tanzania, together with executives from the A220 program, were all present for the handover at the Mirabel assembly line.

The aircraft order was signed in December 2016, where Bombardier and the Government of Tanzania signed a purchase agreement for two CS300 jetliners and two Q400s turboprops, to be leased to and operated by Air Tanzania. The deal was valued approximately $200 million.

Air Tanzania also becomes the latest member of Airbus aircraft operators, and the fifth airline, after Swiss, Air Baltic, Korean Air, and Delta to take delivery of the former Bombardier CSeries aircraft.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hatujakodi.
 
Wakati kesho Ijumaa Januari 11, 2019 Serikali ya Tanzania ikitarajia kupokea ndege yake ya Airbus A200-300, mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wanaopaswa kufika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ajili ya mapokezi hayo wawe ni aina ya watu wanaotekeleza ahadi zao.

Akizungumza leo Alhamisi Januari 10, 2019 na waandishi wa habari, Makonda amesema ujio wa ndege hiyo umetokana na ahadi za Rais John Magufuli za kulifufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL).

“Pamoja na changamoto zote hizo za kupingwa, lakini mwanaume huyu (Magufuli) amekuwa shupavu kapambana na kesho inatua Airbus ya pili ikiwa ni kati ya zile ndege mbili kubwa alizoziagiza kati ya ndege saba zinazopaswa kuletwa kwa ajili ya shirika letu la ndege,” amesema.

“Niwaombe tu kama wewe ni mwananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na ulishawahi kutoa ahadi ukatekeleza, tukutane kesho Uwanja wa Ndege na wale ambao hawajawahi kutekeleza ahadi zao wasije.”

“Kwa watakaobaki majumbani tutakuwa tumepata jibu kwamba ni wale ambao wametoa ahadi lakini hawajawahi kutekeleza.”

Chanzo: Mwananchi

View attachment 991351
Tunaomba cheti kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hatujakodi.
Mimi ninachoelewa ni kwamba hizo ndege zimenunuliwa na serikali kupitia Tanzania Government Flight Agency (TGFA) na kisha wao kuzikodisha kwa Air Tanzania ili kuweza kuziendesha kibiashara. Ina maana ATCL wakiboronga serikali inaweza kuwanyang'anya na kuzikodisha kwenye mashirika mengine ya ndege hata ya nje ya nchi ili kuweza kuziendesha kibiashara na hivyo kuzalisha faida.
 
Wananchi wote mnakaribishwa.. Hata vimbaumbau'
IMG-20190110-WA0025.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom