Makonda atenguliwe na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Shule ya Uongozi

Djob Nkondo

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
232
181
Itoshe kusema kwa muda sasa tangu kuondoka kwa aliyekua Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siasa za Tanzania zilipoteza mvuto.

Zile shamrashamra za kufatilia shughuli za kisiasa ziliisha au zilipungua kwa kiasi kikubwa. Katika ofisi za umma unaweza kujibiwa chochote na usifanye lolote. Wiki iliyopitaNikiwa kwenue viunga vya mkoa wa kigoma nilishuhudia wakuu wa ofisi mbalimbali wakitetemeka na kujiandaa na ujio wa mwenezi makonda.

Baada ya ziara ya mikoani ya mwenezi kuna haja mwenyekiti wa chama tawala atengue uteuzi wa mwenezi na badala yake mheshimiwa makonda ateuliwe kuwa mkurugenzi wa shule ya uongozi na shule ya uongozi iwe ni lazima kwa kila mkuu wa idara na kiongozi yoyote atakae teuliwa kuongoza taasisi ya umma.

Ziara zake zimeonyesha viongozi wengi wamechaguliwa kwa Bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndo maana wameshindwa kitatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia.
 
Siasa ni kucheza na akili za wapumbavu.

Siasa za Samia imefahamika hazina mvuto. Na hiko kalijua waTz hawamtaki na hawamuelewi.

Imegundulika zile siasa za tumbua tumbua, ziara za kushtukiza , nidhamu kazini n.k ndizo watu wanataka. Na hapo ndipo wanamuweka Makonda Kama Danganya Toto, maandalizi ya road to 2025.

Politicians wanakaa ndani vikao na ku discuss tunawezaje kucheza na akili ya Hawa taahira, wapo location hao wanaigiza filamu, director Sa100 herself.

Hamna kitu hapo... Upuuzi tu..
 
Makonda hakustahili kuwa hapo.
Alitakiwa kuwa juu ya hapo.

Na ni magufuli ndiye alijua na kukivumvua kipawa cha uongozi cha makonda
 
Makonda alitakiwa awe Jela akitumikia miaka 30 na kazi ngumu.

Sijui tulilaaniwa nani?
 
Itoshe kusema kwa muda sasa tangu kuondoka kwa aliyekua Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siasa za Tanzania zilipoteza mvuto. Zile shamrashamra za kufatilia shughuli za kisiasa ziliisha au zilipungua kwa kiasi kikubwa. Katika ofisi za umma unaweza kujibiwa chochote na usifanye lolote. Wiki iliyopitaNikiwa kwenue viunga vya mkoa wa kigoma nilishuhudia wakuu wa ofisi mbalimbali wakitetemeka na kujiandaa na ujio wa mwenezi makonda.

Baada ya ziara ya mikoani ya mwenezi kuna haja mwenyekiti wa chama tawala atengue uteuzi wa mwenezi na badala yake mheshimiwa makonda ateuliwe kuwa mkurugenzi wa shule ya uongozi na shule ya uongozi iwe ni lazima kwa kila mkuu wa idara na kiongozi yoyote atakae teuliwa kuongoza taasisi ya umma.

Ziara zake zimeonyesha viongozi wengi wamechaguliwa kwa Bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndo maana wameshindwa kitatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia.
Mazuzu wanashindwa kujua tofauti ya AKILI NA ELIMU NA UHALIFU ...tatizo la tanzania siyo elimu, tatizo la tanzania ni UHALIFU NA KUKOSA AKILI matokeo yake ni KUTOKUWA NA HAKI
 
Sijajua huko shule ya uongoz kama kutakua na impact bora apate cheo cha juu. Mim nadhan mb zangu zinaisha kila siku kwa ziara
Niliachaga toka alivyofarik jpm nilimiss sana zile ishu za wanqnch kusimama barabaran
 
Back
Top Bottom