Dunamist
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 474
- 682
Salaam wakuu
Ni takribani mwaka sasa umepita tangu Askofu mkuu wa makanisa ya Ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima alipotangaza kumfuta kwenye ulingo wa kisiasa kwa sababu ya kumdhalilisha yeye kama mtumishi wa Mungu kwa kumhusisha na kashfa ya madawa ya kulevya. Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, tangu tamko lile lililotoka madhabahuni, mkuu huyu wa mkoa wa Dar hajafanya movement yoyote kubwa ya maana zaidi ya viskendo vya hapa na pale.. Hiki kinachotokea kwake ni mwendelezo tu wa utekelezaji wa tamko lile la mtumishi wa MUNGU..