RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,620
- 3,936
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , mapema asubuhi ya leo Jumanne tarehe 6 Februari, 2024 amefika katika ofisi za Manispaa ya Sumbawanga na kukagua utekelezaji wa agizo la Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuwataka Wakuu wote wa Wilaya Mkoani Rukwa kufungua kliniki za kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi ambapo ameissitiza Kliniki hizo kuwa za muendelezo.
Agizo hilo alilitoa jana tarehe 5 Februari, 2024 wakati akizungumza na Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela.
Sumbawanga - Mkoani Rukwa
6 Februari, 2024
#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
Agizo hilo alilitoa jana tarehe 5 Februari, 2024 wakati akizungumza na Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela.
Sumbawanga - Mkoani Rukwa
6 Februari, 2024
#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee