Make more money as V-Pesa (Halotel pesa) agency

Paul AC

Member
Dec 23, 2014
18
1
For anyone who want to be V-pesa agency and make more money every single day, Please call now on 0718371221 / 0764705712 Paul Alex) au 0684666945 Edwin chapa) or email paulchapa0744@yahoo.com for your registrations to get free chip/ line, Requirements to be an agency are like follows.
1. Business license Copy
2. Tin number Copy
3. Identification Copy.
Please call the above number and we will come whatever you are for your registration. Please remember do not to miss this first in advantage.
 
Huo mtandao sio kabisa.
Nasema hivyo kwasababu mwanzoni kabla haujafunguliwa rasmi tulikuwa tunaambiwa huduma zake zitakuwa nafuu kuliko mitandao yote.
Lakini imekuwa tofauti kabisa.
Gharama ni kubwa kuliko mitandao yote.
Nilinunua line lakini nikatupa siku hiyohiyo maana bandle za internet ni juu sana bora niendelee na voda tu.
 
kuna sehemu inasema unlimited bundles. kidogo wako fair,, sijui kwa wengine BRO SANTANA. mie nilikuwa voda siku ya usafi wa magufuli nilisafisha line ya voda kwenye modem yangu na kuweka halotel
 
Last edited by a moderator:
Cna mpango wa kutumia halotel maishani mwangu wamekatalia pesa yangu takribani mwezi sasa kwa huduma ya halomalengo hawafai kabisa .....
 
Back
Top Bottom