Makamba na ushindi wa mkwere

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Jamani ndugu zangu wanajf ,hoping kuwa mpo pouwah na harakati za kuleta mabadiliko ya nchi yetu,kweli nieamini huyu bwana mkubwa makamba atakuwa hana akili sawa sawa namnukut alichosema jana ktk shughuli za ccm "inabidi wanaccm tutembee kifua mbele kwa ushindi wa kishindo wa ccm ,is it true?anadiriki kusema kuwa zile kura walizopata ni za kutosha,lol?hv wanajf kwanza huyu jamaa anajua kuwa kuna mwanafunzi wake wa makamba sec. mwenye div 4 amejiua ,je alienda msibani?..mbna ktk ukweli huwaga tunakuwa wagumu kukubali ukweli au makamba anapumbazwa na ushindi wa mkwere,waungwana hv ni sahihi kuendelea kujadili matokeo muda huu wakati nchi ipo ktk hali ya uozo au ni vp?wanajf please tumshauri makamba kupitia forum hii.
 
kama kuna mtu anaweza kupoteza mda kumshauri makamba nitamtilia shaka na uwezo wake wa kufikilia labda kumpeleka hosipitali ndiyo itakuwa dawa ya huyo mwehu (Makamba).
 
i like dis babu makamba, nafasi aliyonayo aishikilie milele hata milale,

KAMA SIO MAKAMBA CDM ingekuwa hoi kama UDP, it is makamba anayeikuza CDM
 
@marytina,thank you kwa kulitambua nimekumbuka maneno ya zamani eti mjinga msifie nayeye atapata bichwa na kuendelea na uupuzi wake,sasa makamba anasifiwa na anajiona mjanja kumbe loofa,cdm wl always b there even if of al critics of makamba
 
Jamani ndugu zangu wanajf ,hoping kuwa mpo pouwah na harakati za kuleta mabadiliko ya nchi yetu,kweli nieamini huyu bwana mkubwa makamba atakuwa hana akili sawa sawa namnukut alichosema jana ktk shughuli za ccm "inabidi wanaccm tutembee kifua mbele kwa ushindi wa kishindo wa ccm ,is it true?anadiriki kusema kuwa zile kura walizopata ni za kutosha,lol?hv wanajf kwanza huyu jamaa anajua kuwa kuna mwanafunzi wake wa makamba sec. mwenye div 4 amejiua ,je alienda msibani?..mbna ktk ukweli huwaga tunakuwa wagumu kukubali ukweli au makamba anapumbazwa na ushindi wa mkwere,waungwana hv ni sahihi kuendelea kujadili matokeo muda huu wakati nchi ipo ktk hali ya uozo au ni vp?wanajf please tumshauri makamba kupitia forum hii.

ati tumshauri kupitia forum hii?!, kwani mlango wa kuingilia humu anaujua?.
 
Back
Top Bottom