Majina ya vijiji ambayo ukiyasikia unacheka

Shagihilu,Itobanilo Muhida,Jihu,Seke Seke,mwamitumai,Tindabuliga,Longaloniga,Iponanabholo-Mwandoya,Kizungu,Mwabusalu,Mwandu itinje,Mwandu Ikigijo,Mwabaraturu,mwabomba,Budalabujiga,Gambasingu,Ngofila,

Za usukumani hizo
 
Shagihilu,Itobanilo Muhida,Jihu,Seke Seke,mwamitumai,Tindabuliga,Longaloniga,Iponanabholo-Mwandoya,Kizungu,Mwabusalu,Mwandu itinje,Mwandu Ikigijo,Mwabaraturu,mwabomba,Budalabujiga,Gambasingu,Ngofila,

Mwalobhaghole
 
Bila shaka mu wazima tu.... Kuna majina ya vijiji yanachekesha sana.. Kuna kijiji kimoja kipo mkoa wa Ruvuma kinaitwa mpitimbi, hili Jina limekaa kimzaha mzaha sana na linachekesha balaa. Hebu tupia Jina la kijiji linalokuchekesha....

Kipumbwiko, kyengege, manguampyughu - singida
 
Kuna vijiji kama., kitobo.,kimimba, tukunye village, kipopo.,namajani.,nanguruwe.,chanika nguo.,kitumbo, daa vpo vingi tu nilikuwa nafanya research ktk vijiji hiv bado kama kumi na 3 hiv
 
Kucheka na kutokucheka inategemea umesimama kuelekea wapi. Maneno yanamaana na picha tofauti katika kila lugha. Mmatumbi anaweza kucheka sana akisikia jina la Mayayeka wakati kwa Mkonongo asione ni ajabu.
 
Back
Top Bottom