Majina ya Makarani na wasimamizi wa SENSA 2022

kyalankota

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
2,560
1,399
Wakuu poleni sana kwa kusubiri muda mrefu kuona orodha ya majina ya waliochaguliwa kushiriki zoezi muhimu la kitaifa kuhusiana na sensa ya watu na makazi mwaka huu 2022. Wengi wenu mliomba mkiwemo wenye ajira na wasio na ajira.

Kama alivyosema kamisaa wa sensa ya watu na makazi mheshimiwa spika mstaafu Anna Makinda ni kwamba mtu yeyote mwenye kukidhi vigezo hataachwa.

Kwa hiyo msidanganywe na watu wanaosambaza taarifa za uzushi. Majina yakitoka kila mtu atajua hakutakuwa na kificho.

Kuweni wavumilivu.
Asanteni kwa kusoma andiko hili. Kazi iendelee.
 
mbona walio omba wote wanasifa na vigezo so upendeleo upo pale pale hakuna namna
 
Wakuu poleni sana kwa kusubiri muda mrefu kuona orodha ya majina ya waliochaguliwa kushiriki zoezi muhimu la kitaifa kuhusiana na sensa ya watu na makazi mwaka huu 2022. Wengi wenu mliomba mkiwemo wenye ajira na wasio na ajira.

Kama alivyosema kamisaa wa sensa ya watu na makazi mheshimiwa spika mstaafu Anna Makinda ni kwamba mtu yeyote mwenye kukidhi vigezo hataachwa.

Kwa hiyo msidanganywe na watu wanaosambaza taarifa za uzushi. Majina yakitoka kila mtu atajua hakutakuwa na kificho.

Kuweni wavumilivu.
Asanteni kwa kusoma andiko hili. Kazi iendelee.
Daahhh. Mungu anakuona. ......!!😂😂😂😂
 
IMG-20220715-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom