huo wimbo pia ni wakupiga marufuku kabisa, hehehehehehehe
Ila salt pamoja na kuyapenda umeyaelewa...Kiozee ndani, kuna kitu ndani kinaoza.
najaribu kutafakari haya maneno niliyasikia wapi...Una nini chambilecho?
SnowBall acha kutudanganya... ile maneno kama unampenda kweli mkeo lazima utafute bakora...I will give her some monnie to buy more khangas..manake najua maji ya moto wala hayachomi nyumba!
Maneno kwenye kanga ndo mahali pake....
nnavoupenda huu mimbo, ninavompenda jirani yangu hunambii kitu....!!!
hata mboga si inaoza kwani we unadhani ni nini!!!
Kizuri kula na mwenzio,mpende jirani yako kama wewe mwenyewe,kwa hiyo unaacha tu unampongeza kwa ukarimu.
aisee mnapeana hope kinoma, teh teh teh tehvery very very gd kama atakuwa GT then atazichoma moto
Teh teh teh.very very very gd kama atakuwa GT then atazichoma moto
aisee mnapeana hope kinoma, teh teh teh teh
Teh teh teh.
nsafi osie, nzeze iwe?zumbemkuu haango mndughu togoa mahundo
hivi kwa wale wanaume wanaosafiri mara kwa mara ukirudi nyumbani ukamkuta mkeo kajifunga kanga imeandikwa maneno haya ''heri nimpe jirani kuliko kiozee ndani'' ungechukua hatua gani?
Walllahi vile hata sijakuelewa ndugu yangu em funguka kidogo,ulikuwa na maana gani hapo juu?heheheeeeee mbavu zangu Blue G nani kasema dawa ya moto ni maji dawa ya moto ni moto
Hao wanawake ni kama mayai yaliyo hifadhika. (As-Saaffaat: 49)
Hakika wanao wasingizia wanawake, wanao jihishimu, walio ghafilika, Waumini, wamelaaniwa duniani na Akhera, nao watapata adhabu kubwa. (An-Noor: 23)
Basi yule bwana alipoona kanzu yake imechanwa kwa nyuma, alisema: Hakika haya ni katika vitimbi vyenu wanawake. Bila ya shaka vitimbi vyenu ni vikuu. [12:28]
Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha. (An-Nisaa: 4)
Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu. (An-Noor: 4)
Yaani hiyo ni messege sent, inaonekana hutimizi wajibu vizuri, badilika bro, vinginevyo atafanya kweli. ningekuwa mimi naanza mazoezi makali hadi kieleweke, ukiingia uwanjani hizo kanga zitasahaulika,Nimependa hayo maneno ya khanga......!!!!