Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

Huyu ni nani? Huyu siyo Ridhiwani.Au ni Ridhiwani? Kazi baada ya Uchaguzi ni kazi ya kuliunganisha Taifa. Kama kwa mfano kuwaschia huru watu waliokamatwa katika vurugu ndogondogo za Uchaguzi.
 
Furahini kwa muda, magufuli kama Mwanawasa wa Zambia aliyemfungulia mashitaka ya ufisadi Chiluda, rais mstaafu. Na ccm mkizingua Pombe anaihama ccm akiwa ikulu. Katiba yetu inaruhusu, angalia vipengele vya mtu kupoteza ubunge na urais kama vinafanana.
 
Chenye mwanzo lazima,kina mwisho wake. Ni haki yake kwa vile wanaowadhihaki wanaendelea kuwapenda waendelee kudhihakiwa wanabaki wachache wanaotaka mabadiliko.
 
Angekua kapuku mmoja amekuja na uharo huu saa hizi Kova keshakukwida unanyea kidebe. Waacheni wafalme na ufalme wao na sie tubaki na utumwa wetu.

jitu limekosa nidhani na haya .....midevu yoote hiyo ukaseme mtoto, ana utoto gani?

Kweli CCM mmetumia 'akili za ziada' kushinda mwaka huu. Kasema Nape hayo sio mimi.
 
Ni kumwancha tu.
Kafanya yeye kama yeye si amini kama baba yake kaafiki hili .
Ila kikubwa zaidi ni mtoto kaongea.

Huyo baba yake ulimsikia alivyowasengenya wapinzani leo? Eti wanywa viroba. Maneno ambayo tumezoea kuyasikia huku mtaani sio kwa rais. Huyu dogo kajifunza kwa baba yake.
 
mmhhhhh hapana mda umefika wakumboa nch yetu mikononi mwa wadhalimu.MUNGU tusaidie tuongoze katika kupinga udhalimu huo utuongoze ktk mapambano yakudai haki zetu mikononi mwa wakoloni weusi ccm na wote tuseme amina
 
Back
Top Bottom