Mmh! Siyo rahisi kama mleta Uzi unavyotaka kurahisha! Hili linahitaji use an guts za kutosha na ujasiri wenye nishani ya heshima kubwa.
Mbona mkulu amewavua wengi nguo?
Mwigulu wa kupachika jiuzulu ili uje name jina lako halisi utaloapa kwalo kulitumikia taifa.
Nilikuwa na mashaka juu ya utendaji wa wateule wetu wengi kuwa name moral decay ambayo shetani alikuwa anawashangaa kwa jinsi walivyooza kimaadili name kukosa uzalendo wa dhati kuliko yeye. Kumbe shida ilikuwa ni walioteuliwa siyo halisi kwani watu halisi walibaki kuchunga name wateule hao walishindwa kufanana name wenye majina yao.
Magu safisha kabisa nyumba yako ili tuanze upya.