Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,553
- 41,060
Nadhani mwehu zaidi utakuwa ni wewe ambaye pia hujiulizi kama Kikwete na Shein na CCM wana haki ya kuipigia debe katiba pendekezwa tena kwa kutumia hela ya umma, iweje watu wengine wasiruhuisiwe kuwaelimisha wananchi tena kwa gharama zao juu ya ubaya na uovu wa hilo andiko la katiba liliandaliwa na majitu majizi kama akina Chenge? Simple reasoning can free you from stupidity prison.
Wewe ni Mwehu nini,UKAWA wawe na mamlaka, SERIKALI isiwe na mamlaka?