tama
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 602
- 71
makahaba wana mbinu? Sio bure hata makamba aliwashindwa kipindi kiile!
Eeeeeeeeeeeh eeeeh maneno yako kibokooo.
makahaba wana mbinu? Sio bure hata makamba aliwashindwa kipindi kiile!
Here is our Bongo AMBER ROSE...
...wizi mtupu! Kwa utaratibu, tanzania kipimo cha kwanza kwa hiv ni sd bioline na majibu yakiwa non reactive (negative) unampa majibu mgonjwa kuwa hana virusi (at that particular time ) unamuelekeza arudi baada ya miezi mitatu; na wakati anasubiri kurudi in 3 months ajikinge. Hakuna utaratibu wa kufanya determine (kipimo cha pili hapo kwenye hiyo karatasi yao; hii hufanyka kama tu sd bioline ni positive). Sasa kama karatasi hiyo ni genuine then mimi nitasema huyo christina john ana ngoma. Alipima sd bioline ikawa reactive ndio maana wakapima determine which also turned positive; then yeye akachakachua na kuongezea non- halafu na kujitungia tarehe ya kurudi in 3 months......hah haha hah. Lakini all in all nachokiona hapo kuna mtu analiwa timing aingizwe kwenye 18 zao!
Basi ukimwi umepata dawa!!!
Hata hao hawana??!!!
shocking thread to say the least
where do we have ethics?
Mastaa wanao-hit hivi sasa
SINTA aka J LO wa Bongo na JACK WOLPER aka AMBER ROSE wa Bongo walipimwa ukimwi pale kwa Mama ngoma na haya ndio majibu yao
.Hongereni sana kwa ujarisiri wa kupima UKIWMI na kukutwa REACTIVE

tangaza biashara yako!!kaka uspanic..advertsment is the art of making goods or services known to people.