Maji yamezidi unga: Rais Putin aomba mazungumzo na Ukraine yaanze

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
992
3,489
Rais huyo wa Urusi anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Uturiki Recep Tayyip Erdogan baadae wiki hii kujadili pendekezo la mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi.

Katika hatua nyingine Rais huyo wa Urusi anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Uturiki Recep Tayyip Erdogan baadae wiki hii kujadili pendekezo la PUTIN ili Uturuki kusimamia mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi. Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema Urusi haijapokea ishara yoyote kuhusu mazungumzo hayo lakini haiondoi nia ya Putin kujadili na Erdogan.

Source: Dw.

ZELENSKY tunakuomba msamehe PUTIN kusamehe ni ibada mtoto akiunyea mkono usiukate mkono Rudi mezani.

Mtu mzima kumpeleka puta hivyo sio vizuri muoneshe mlango wa kutokea

Tunakuomba msetiri supapawa wetu.

Na wewe ipo siku atakusetiri.

View attachment 2382831
 
Kwani kinachoendelea si anashambulia kwa roketi? Nini kimetokea tena?
 
Wewe upo dunia ipi? Ukraine kachukua kipondo KIKALI cha mbwa mwizi katika miji yake mikuu ikiwemo KIEV leo asubuhi, Hii ni kulipiza kisasi kufuatia yeye (ukraine) kuvunja daraja linalounganisha Crimea.

Russia ni mstaarabu kwani angaliweza kutupa hayo makombora usiku na kuua watu wengi sana.
 
Rais huyo wa Urusi anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Uturiki Recep Tayyip Erdogan baadae wiki hii kujadili pendekezo la mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi...
Ndugu mrengo wa kushoto kama wenye ni timu beberu lazima uhahe natuhabari twakuokoteza kama beberu mkuu na washirika wake 🥱
 
Wewe upo dunia ipi??, Ukraine kachukua kipondo KIKALI cha mbwa mwizi katika miji yake mikuu ikiwemo KIEV leo asubuhi, Hii ni kulipiza kisasi kufuatia yeye (ukraine) kuvunja daraja linalounganisha Crimea. Russia ni mstaarabu kwani angaliweza kutupa hayo makombora usiku na kuua watu wengi sana.
Hivi Urus anarusha hayo makombola hovyo hovyo ndani ya ardhi ya Ukrain au anataget vituo vya kijeshi? Kama ni hovyo hovyo kwakweli ni uhalifu wa kivita!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Putin hawez kufanya hivyo

Mtoa post nadhani inatakiwa upelekwe mirembe nadhani post yako ipo hapa ....sema tu umeongeza feelings zako

Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema Urusi haijapokea ishara yoyote kuhusu mazungumzo hayo lakini haiondoi nia ya Putin kujadili na Erdogan.
 
Hiyo ni kuonesha kwamba hata anaweza kumuua Zelensky kama akitaka, anaweza kumrushia bomu popote alipo.
Hii si kweli.Kwamba Putin siku zote hizo ameamaua tu kwa makusudi asimuue Zelensiky au alishashindwa kumuua.Yani awe na uwezo wa kumuua mtu anayeona ni tatizo kwake tangu February na access ya kumuua anayo halafu amwache tu?
 
Mazungumzo ya nini huyo dikteta aondoe majeshi yake kwenye nchi ya watu. Hovyo kabisa huyo takataka.
 
Wewe upo dunia ipi??, Ukraine kachukua kipondo KIKALI cha mbwa mwizi katika miji yake mikuu ikiwemo KIEV leo asubuhi, Hii ni kulipiza kisasi kufuatia yeye (ukraine) kuvunja daraja linalounganisha Crimea. Russia ni mstaarabu kwani angaliweza kutupa hayo makombora usiku na kuua watu wengi sana.
Sasa kijeshi ame-achieve nini zaidi ya kuua raia na kuharibu mali?

Russia ni wajinga na hawana maarifa ya kivita waliotuaminisha wanayo.
 
Sasa kijeshi ame-achieve nini zaidi ya kuua raia na kuharibu mali?

Russia ni wajinga na hawana maarifa ya kivita waliotuaminisha wanayo.

Ku achieve kijeshi ndio kitu gani??-- yeye ame achive kisiasa na kidemografia, kachukua miji minne ya Ukraine
 
Hii si kweli.Kwamba Putin siku zote hizo ameamaua tu kwa makusudi asimuue Zelensiky au alishashindwa kumuua.Yani awe na uwezo wa kumuua mtu anayeona ni tatizo kwake tangu February na access ya kumuua anayo halafu amwache tu?
Hakuna faida yoyote ya kummaliza Zelensky..ni kama kumtengeneza awe shujaa tu...
Wewe unafikiri mfano Israel wanashindwa kutembea na yule Ayatola wa Iran...???
 
Kwani kinachoendelea si anashambulia kwa roketi? Nini kimetokea tena?
Hata mimi ninashindwa kuelewa kabisa, super power wetu anatudharirisha. Kobaz tutaziweka wapi hiziii!!?????
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom