Maji huwa hayasahau asili yake hata baada ya miaka 1000

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,719
6,527
Wakazi wa Mwanza mnakumbuka mvua za 2018 na 2019 maji ya ziwa Victoria yali sogea sana, na baadhi ya maeneo kama Kisumu Kenya nyumba zilimezwa kabisa?

Ile ni Ujumbe na ni dhahili kwamba eneo ilipo hata ule mji wa Mwanza ilikuwa ni ziwa na ipo siku Maji yatadai eneo lake.

Haya tunayo onaga mafuriko majunbani, huwa sio mafuriko kama tunavyo amainishana yale huwa ni maeneo rasimi ya maji, ila sisi tumevamia ni ipo siku, sasa sisi tunashindwa kuelewa hilo.

Maji yana tabia kuu moja huwa hayasahau asili yake hata kama itapita miaka 1000,

Hii nchi kuna watu wamejenga kwenye Mikondo ya maji wengine pembezoni mwa mito wengine wamehamisha mkondo wa maji, wengine pembezoni mwa ziwa, wengine wamekausha tindiga na kazalika na kuifanya eneo la maji ila wasicho kijua maji hayasahu asili yake.

Utasikia haoa zamani ilikuwa ni maji yanajaaa na leo hii ni majumba tupu then tunachekelea.

Some time yanapo tokea mafuriko.madogo huwa baadae tunasahu ila some time ni ujumbe unatumwa kwamba hili ni eneo letu na hameni.
 
Suala la kukumbuka au kusahau huhusisha matumizi ya ubongo. Vipikihusu maji, je Yanatumia Nini kukumbuka? Ni vema ungesema kuwa maji huweza kurudia ujazo wa awali hata baada ya miaka kadhaa.
 
Nashauri tuhame hii dunia na tutafute sehemu/sayari nyingine ya kuishi kwa kuwa sayansi/dini zinatuambia miaka mingi nyuma uso wote wa dunia ulikuwa umefunikwa na maji kwa hyo ipo siku maji YATAKUMBUKA tu
 
Nashauri tuhame hii dunia na tutafute sehemu/sayari nyingine ya kuishi kwa kuwa sayansi/dini zinatuambia miaka mingi nyuma uso wote wa dunia ulikuwa umefunikwa na maji kwa hyo ipo siku maji YATAKUMBUKA tu
Kiama au ?
 
Back
Top Bottom