Majeruhi zaidi ya 15 wa ajali ya bodaboda hupokelewa MOI kila siku. Lema alikuwa sahihi

Ila bongo kila kitu shaghalabagala
Miundo mbinu shina
Vyombo vya moto shida
Watumiaji shida
Matumizi shida
Usimamizi wa sheria za barabaran shida

Where are we heading
 
Ila bongo kila kitu shaghalabagala
Miundo mbinu shina
Vyombo vya moto shida
Watumiaji shida
Matumizi shida
Usimamizi wa sheria za barabaran shida

Where are we heading
Vijana 15 kwa siku ni wengi Sana taifa linapoteza nguvukazi, Lema alisema ni laana tukamtuka hapa kuna ukweli maana kwa mwezi hata kama hawafi (labda) tukapata walemavu wengi
 
Nimeshawahi kulalamika kuhusu madereva boda boda wengi wao sio madereva waliopitia mafunzo kufunzi
 
Tatizo ni Wanasiasa wameshindwa toa ajira wakaruhusu Wachina na Wahindi wajaze miji na pikipiki
 
Back
Top Bottom