Majanga na Vita Dunia: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Miezi ya hivi karibuni tumeona machafuko Duniani hasa Vita kati ya Urusi na Ukraine, siku siku chache za hivi karibuni tumeona hali tete ya Israeli na Palestina na kulipotiwa maelfu wakipoteza Maisha.

Vita hizi za Mataifa makubwa pomoja na kuleta madhara makubwa Kwa Nchi husika lakini tunaona madhara yake hata kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwemo.

Jambo kubwa na mwiba Kwa Nchi yetu ni kuona bei za mafuta zikipanda kila uchao na sioni dalili kama hili Janga tunaliona Kwa Jicho la "Tai'

Na taarifa zinadurufu huenda tena bei hizi za mafuta zikapanda siku za Usoni.

Nitoe Rai Kwa MH Rais Samia Suluhu Hassan ni wakati muafaka Kwa Serikali sikivu na Naamini na MH ni Msikivu Sana.

Serikali ipunguze matumizi ambayo hayana tija Kwa Taifa, safari za nje na safari za ndani Kwa viongozi na watendaji zipungue.

Pesa hiyo iingie kwenye Ruzuku ya mafuta ili kumuondolea mwananchi mzigo wa gharama za maisha ambazo kwa sasa ziko juu.

MH Rais Samia ni wakati muafaka Kwa Serikali Sasa kutumia E-govement (TEHAMA)

TEHAMA peke yake ndio mkombozi wetu ili kuondoa safari ambazo sio rafiki ambapo ndo zimekuwa zikitumia pesa nyingi za walipa Kodi.

MH Rais Naamini pesa hizi za safari ambazo hazina tija zikipunguzwa na zote ziingie kwenye "Rizuku ya Mafuta' utakuwa kwa namna moja au nyingine umegusa maisha ya Wananchi wa kipato cha chini

Natumai, natumaini na ni Matumaini yangu MH Rais utalifanyia kazi hili swala.

Alex Fredrick
+255 655 308494
 
Watakuona mnoko unawakatia perdiem na safari fake za kupiga mpunga
 
Back
Top Bottom