Majambazi yavamia kituo cha polisi

Kwenye situation kama hiyo hakuna ujanja. Unaweza kuwahi au kiwahiwa. Ila kwenye matukio mengi ya namna hiyo polisi hushinda.
 
Nadhani kama ni muhimu saana kufanya hizi shughuli zao ni bora wazifanye kwa polisi na sio kwingineko, so long as hizo silaha zao walizoiba wasijekuzitumia kwa sisi raia wa kawaida
 
Hii kali ya mwaka huu. Radio call kukosa chaji!! Polisi kuokolewa na wananchi. Tunakoelekea itabidi raia tujilinde wenyewe.
Githeri umenena.
kumbe polisi hawafanyi makusudi kushindwa kuilinda CDM bali wanazidiwa nguvu na green guards,hivyo CDM ni sahihi kuendelea na mkakati wa maandalizi ya kujilinda wenyewe.
 
Na huko Mwanza pia kuna majambazi yamevamia kituo kikuu cha Polisi na kuiba nyaraka. Yaani hii nchi hata vituo vya Polisi vinavamiwa na kuibiwa mali kama magheto ya vijana. IGP Mwema, je upo? Watu walitaka mabailiko ndani ya Polisi mnasema ni "Wapinzani", je hizi aibu anabebaba nani?
 
Back
Top Bottom