Majambazi wavamia kituo cha mafuta na kuua

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Kuna habari kuwa majambazi yapatayo 7 yamevamia kituo cha mafuta nje kidogo ya mji wa Bukoba eneo la Kagondo, mnamo saa mbili usiku wa Leo na kumuua mlinzi na mmiliki wa kituo kwa risasi.
Mmiiki wa kituo mwenye asili ya kiarabu kajulikana kwa jina moja la Maburuki ambaye ni mzaliwa wa Karagwe.
Inasemekana majambazi hao walikwenda kituoni kama wateja na walipomuona mlinzi akiwa na bunduki walimpiga risasi na kufa papo hapo huku wakimpiga risasi na mmiliki aliyekuwa ofisini kwake ambaye alikufa baadaye alipofikishwa hospital.
 
Habari ya kusikitisha saana,
Ni katika mazingira haya ningewaelewa polisi kama wangezuia janga hili kwa taarifa za kiintelijensia
 
Habari ya kusikitisha saana,
Ni katika mazingira haya ningewaelewa polisi kama wangezuia janga hili kwa taarifa za kiintelijensia
kazi yao kuzuia maandamano na kuingiza watu mpirani..wanapenda menu hiyo!
 
askari wotye wapo Arusha sasa hivi na mambo yao ya kiintelijisia ...aaaa bana mneo wenyewe hata sijui kuuandika vizuri
chakunogela.jpg
 
Hapa ndio Jeshi la polisi lione mapungufu yake Daima kama wameiva kitelejensia walishindwaje hapo? Poleni sana wafiwa walikutwa na mkasa huo
 
Kuna habari kuwa majambazi yapatayo 7 yamevamia kituo cha mafuta nje kidogo ya mji wa Bukoba eneo la Kagondo, mnamo saa mbili usiku wa Leo na kumuua mlinzi na mmiliki wa kituo kwa risasi.
Mmiiki wa kituo mwenye asili ya kiarabu kajulikana kwa jina moja la Maburuki ambaye ni mzaliwa wa Karagwe.
Inasemekana majambazi hao walikwenda kituoni kama wateja na walipomuona mlinzi akiwa na bunduki walimpiga risasi na kufa papo hapo huku wakimpiga risasi na mmiliki aliyekuwa ofisini kwake ambaye alikufa baadaye alipofikishwa hospital.

Sasa hapa ndipo nilipo pataka na kumuuliza Said Mwema nini maana ya police intelligencer aliyoisema kabla ya CHADEMA kuandamana kule arusha??? Au ni Intelligencer ya kuzuia maandamano?

Haya yaliyotokea bukoba ilikuwa wapi police Intelligencer???? Police hawaangaiki kulinda raia bali wao ni kuwapiga raia ndio wanajua tuu hilo ila kukithiri kwa majambazi police kutatua hilo tatizo kwao ni kizungu mkuti

Habari ya kusikitisha saana,
Ni katika mazingira haya ningewaelewa polisi kama wangezuia janga hili kwa taarifa za kiintelijensia

Tuko pamoja hapa!!! Hivi polisi hawakupata taarifa za kiinteligensia kuzuia huu ujambazi? Polisi wanashindwa kutumia uwezo wao kuzuia ujambazi wanaishia kuua raia wasio na silaha waliokuwa wanadai demokrasia ya kweli!!!!

Shame on Mwema and his lieutnant!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom