Maisha Yako Hapa!!!???

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
boat_homes_uni (1).jpg
Watu wanakula bata humu lakini tukumbuke PUA zetu wote zinaelekea UDONGONI
 
Eti Kuna Wamarekani wanasema kama Mbinguni (peponi) hakutakua kuzuri kama Marekani watagoma kuingia hata kama ni kwa Rehema.....
 
Kibongo bongo akimilika huo mzigo na hawa ndugu zetu lazima wa kululu
 
hiyo nimewahi kuipanda,
kama unabisha kivyako.
Pasaka njema
 
Back
Top Bottom