Maisha ya Mpumalanga kwa Mlokole ni mepesi (Bethal) Emzinoni street

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
534
1,746
Maisha ya Mpumalanga katika Eneo la Bethal mtaa wa Emzinoni ni rahisi sana hasa kwa mlokole South Afrika ukiishi kwa kumpendeza Yesu hautasikia hata mlio wa risasi.

Kwanini nasema hivi kwa sababu Yesu akiwa ndani yako utafanya shughuli halali za kukuingizia kipato watu wengi iwe wazawa au wageni wanao ishi mtaa wa bethal hasa wanao mtumikia Yesu wamekuwa wakiishi maisha ya Amani sana.

Mtu anaweza kukuambia kuishi location kwa mgeni ni hatari sana lakini mimi nasema ni hatari kama humtumikii Yesu nikisema location namaanisha mitaa ya hali ya chini tofauti na downtown kama joburg,Durban NK

Usitishwe na wabongo wa humu jf kwamba kuishi south afrika ni hatari mimi nakuambia ni hatari kama hauna Yesu kama marafiki zako wa south afrika watakuwa walokole utaishi kwa Amani maana mtu anae mtumikia Yesu hata ukiishi Pakistan risasi haitakugusa Ila ukiwa mhalifu na ukachangamana na wahalifu south afrika ni hatari sana kwako.

Pia usisikilize maneno ya kusema watu hatari south afrika ni wabangu bangu, sijui wa khosa, sijui wazulu, sijui warangi rangi ukisikia story hizo ujue huyo mtu anaishi na wahalifu na maisha yake ni ya uhalifu

MSIOGOPE KWENDA SOUTH AFRICA LAKINI NENDA UKIMTUMIKIA YESU MILIO YA RISASI HUTAISIKIA HATA UKIISIKIA HAITAKUWA YAKO JUMAPILI NJEMA

Screenshot_20240218-084120_1.jpg
 
Niliwahi ishi Location ya Guguletu NY 21,CapeTown mwaka 1998 nilipofika SA ila sio sehemu za kuwashauri watu waishi hayo maeneo nilipopata kazi nikahamia Mjini sikurudi tena maisha ya uswazi hii 2024 unazungumzia kuishi uswazi sio sawa Mwana wa Mungu..sema hilo Jimbo ni Jimbo masikini kuliko Majimbo yote na pia kwenye utafutaji hivi vitu vizingatie ingawaje lolote linaweza kutokea na pia Mtumishi hapo umeangalia Amani tu vip mzunguko wa pesa..
 
Mtaa nilioishi miaka kafhaa iliyopota kama kijana hukuwahi kukanyaga south unaonekana mtoti wa mama tu
 
Niliwahi ishi Location ya Guguletu NY 21,CapeTown mwaka 1998 nilipofika SA ila sio sehemu za kuwashauri watu waishi hayo maeneo nilipopata kazi nikahamia Mjini sikurudi tena maisha ya uswazi hii 2024 unazungumzia kuishi uswazi sio sawa Mwana wa Mungu..sema hilo Jimbo ni Jimbo masikini kuliko Majimbo yote na pia kwenye utafutaji hivi vitu vizingatie ingawaje lolote linaweza kutokea na pia Mtumishi hapo umeangalia Amani tu vip mzunguko wa pesa..
Mkuu asante. Nilitaka kukuta-tag sasa hivi uje utupe maoni yako nikakuta umeshaandika.
 
Maisha ya Mpumalanga katika Eneo la Bethal mtaa wa Emzinoni ni rahisi sana hasa kwa mlokole South Afrika ukiishi kwa kumpendeza Yesu hautasikia hata mlio wa risasi.

Kwanini nasema hivi kwa sababu Yesu akiwa ndani yako utafanya shughuli halali za kukuingizia kipato watu wengi iwe wazawa au wageni wanao ishi mtaa wa bethal hasa wanao mtumikia Yesu wamekuwa wakiishi maisha ya Amani sana.

Mtu anaweza kukuambia kuishi location kwa mgeni ni hatari sana lakini mimi nasema ni hatari kama humtumikii Yesu nikisema location namaanisha mitaa ya hali ya chini tofauti na downtown kama joburg,Durban NK

Usitishwe na wabongo wa humu jf kwamba kuishi south afrika ni hatari mimi nakuambia ni hatari kama hauna Yesu kama marafiki zako wa south afrika watakuwa walokole utaishi kwa Amani maana mtu anae mtumikia Yesu hata ukiishi Pakistan risasi haitakugusa Ila ukiwa mhalifu na ukachangamana na wahalifu south afrika ni hatari sana kwako.

Pia usisikilize maneno ya kusema watu hatari south afrika ni wabangu bangu, sijui wa khosa, sijui wazulu, sijui warangi rangi ukisikia story hizo ujue huyo mtu anaishi na wahalifu na maisha yake ni ya uhalifu

MSIOGOPE KWENDA SOUTH AFRICA LAKINI NENDA UKIMTUMIKIA YESU MILIO YA RISASI HUTAISIKIA HATA UKIISIKIA HAITAKUWA YAKO JUMAPILI NJEMA

View attachment 2907623
DOoh..kama huku ndio mnakuita location kwa maana ya makaz duni, basi bongo 80% ni location 😂
 
Mkuu asante. Nilitaka kukuta-tag sasa hivi uje utupe maoni yako nikakuta umeshaandika.
Watu wengi sana wamekufa huko Location sio maeneo salama sana maana unaishi na adui mwaka jana waliuawa Watanzania wawili huko Khayelitsha ndugu kabisa achana na wengine waliokua wanatupwa kwenye Treni wakirudi Location hawa ndugu zetu wengi wamefika miaka ya karibuni tabia za wenyeji hawazijui vizuri ndio maana wanaweza kuandika chochote Wasomali na ubishi wao wamefungua maduka huko wengine wameauawa sana mpaka na wao wameamua kununua siraha kinyemela ili kujilinda..
 
Maisha ya Mpumalanga katika Eneo la Bethal mtaa wa Emzinoni ni rahisi sana hasa kwa mlokole South Afrika ukiishi kwa kumpendeza Yesu hautasikia hata mlio wa risasi.

Kwanini nasema hivi kwa sababu Yesu akiwa ndani yako utafanya shughuli halali za kukuingizia kipato watu wengi iwe wazawa au wageni wanao ishi mtaa wa bethal hasa wanao mtumikia Yesu wamekuwa wakiishi maisha ya Amani sana.

Mtu anaweza kukuambia kuishi location kwa mgeni ni hatari sana lakini mimi nasema ni hatari kama humtumikii Yesu nikisema location namaanisha mitaa ya hali ya chini tofauti na downtown kama joburg,Durban NK

Usitishwe na wabongo wa humu jf kwamba kuishi south afrika ni hatari mimi nakuambia ni hatari kama hauna Yesu kama marafiki zako wa south afrika watakuwa walokole utaishi kwa Amani maana mtu anae mtumikia Yesu hata ukiishi Pakistan risasi haitakugusa Ila ukiwa mhalifu na ukachangamana na wahalifu south afrika ni hatari sana kwako.

Pia usisikilize maneno ya kusema watu hatari south afrika ni wabangu bangu, sijui wa khosa, sijui wazulu, sijui warangi rangi ukisikia story hizo ujue huyo mtu anaishi na wahalifu na maisha yake ni ya uhalifu

MSIOGOPE KWENDA SOUTH AFRICA LAKINI NENDA UKIMTUMIKIA YESU MILIO YA RISASI HUTAISIKIA HATA UKIISIKIA HAITAKUWA YAKO JUMAPILI NJEMA

View attachment 2907623
Mbona pamekaa kama manzese
 
Back
Top Bottom