Maisha ya India...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
transp2.jpg garaji india.jpg HOME AND INDIA 017.JPG india kids.jpg transp.jpg mnada.jpg transp2.jpg garaji india.jpg HOME AND INDIA 017.JPG india kids.jpg transp.jpg mnada.jpg

Unaweza kujiuliza kwa nini wahindi wananaishi katika maisha ya haya unayowaona hapo ulipo?? wakiwa India maisha yao ni tofauti sana, hali ni ngumu na ugumu huo umechania kwa kiasi kikubwa kwa wahindi kuhangaikia maendeleo. wawapo India wengi utamani kutoka wakaishi ughaibuni na wakubahatika inakuwa ndio siri kuu ya mafanikio yao. Japokuwa India ni nchi iliyoendelea kwa upande wa nchi za Dunia ya Tatu, kuna tabaka kubwa la maisha kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho...Tumshukuru Mungu kwa sisi ambao hata tunaweza kupata kipande cha ardhi tukawenza sehemu ya kujihifadhi, maisha ya wenzetu kule India ni ya "bora jua litoke" wengi wanaishi kwa staili ya ajabu, si kitu cha ajabu kukuta baba, mama na watoto wakiwa wamelala kwenye hema lililojengwa kwa makaratasi ya nylon pembeni ya nyumba ya mtu au kwenye ardhi ambayo mwenye nayo hajaiendelezxa, na wanakwenda kujisaidia mtoni nk.

Ni kweli sisi ni maskini ila kwa wenzetu umaskini wao unajidhihirisha kwa kumtizama tu mtu na haihitaji kufutailia masisha yake.

lightbox_progress.gif
 

Attachments

  • HOME AND INDIA 027.JPG
    HOME AND INDIA 027.JPG
    357.4 KB · Views: 83
Back
Top Bottom