LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,115
- 27,105
Wanasayansi wamegundua kuwa kuna maisha katika sayari ya Mars na kuna viumbe wanaishi katika syari hiyo. Inatajwa kuwa, viumbe wanao ishi katika sayari ya Mars wameendelea sana kiteknolojia kuliko binadamu. Ufahamu wao ni mkubwa mara nyingi zaidi ya ule wa wanaadamu. Inatajwa zaidi, serikali ya Marekani kwa kushirikiana na kituo cha anga NASA wanafahamu kuhusu ukweli lakini wanauficha kwa walimwengu kwa sababu ambazo zinajulikana kwa wao wenyewe. U can see for urself, hii ni miongoni mwa mamia ya video zinazo tolewa mitandaoni kuhusu uwepo wa Maisha katika sayari ya Mars.
MARS
MARS